Si ndo pisi kali hizo πΉπΉSijawahi vutiwa na mrangi, naogopa kupigwa juju nikawa zoba/fala.
Warangi hapana kwanza wana nuksi balaaKina sepenga si ndo pisi classic zinazotokea singidani..!! Ndo warangi hao.
We unajua warangi wa wapi?
Mahi ita boda ushaanza kutoka nje ya lane
Muongo wewe πΉπΉπ€£Jirani sina vita na kabila lolote lile ila huyo ni mkinga.
Wapo wengi tu kazuri sana ila nyash ngumu kuliko maisha yangu π
Sema wana kausagaji kwa mbali πΉπΉNaanza kufoli in love nao
πΉπΉπΉ weka picha tuoneZimechambuka kama uwanja
No kwangu pisi kali ni hiiSi ndo pisi kali hizo πΉπΉ
Ndio wa singida hao sasa pure πΉWarangi hapana kwanza wana nuksi balaa
Ndio wa singida hao sasa pure πΉWarangi hapana kwanza wana nuksi balaa
Tulia wewe usikute ndio wewe πLete hapa mambo kwa ushahidi πΉπΉ
Afadhali maana moyo ulianza kwenda mbio πHao leo nawapumzisha πΉπΉπΉ
Jirani weka bana, hata nikiwa mimi nitakwambia..!! πΉπΉπΉTulia wewe usikute ndio wewe π
Fake Id zinaficha mengi
Leo kuleni utawala kina Mura πΉπΉAfadhali maana moyo ulianza kwenda mbio π
Umenitisha ulivyosema nimempatia wapi huyo mkinga, isijekuwa dasalama upo peke yako na nilimuopoa kkoo.Jirani weka bana, hata nikiwa mimi nitakwambia..!! πΉπΉπΉ
Ila mi nimedate na Mangi tu hata wakinga wenzangu sijawahi..!!
Km wewe Mangi basi sawa..!
Lete evidence hapa na ninavyopenda ubuyu sasa.. π€£
π mimi vita sitaki nikikumbuka yule wangu alinishikiaga kisu najiweka nao mbali maana mimi ni mtu wa watu.Leo kuleni utawala kina Mura πΉπΉ
Huo sasa uongo πΉπΉUmenitisha ulivyosema nimempatia wapi huyo mkinga, isijekuwa dasalama upo peke yako na nilimuopoa kkoo.
Ushahidi siku nyingine nikumbushe kesho saa 3 usiku.
Jirani ngoja nifanye kazi humu leo nacheka sana πΉπΉπ mimi vita sitaki nikikumbuka yule wangu alinishikiaga kisu najiweka nao mbali maana mimi ni mtu wa watu.
Hapa wewe unataka ushahidi gani, wa mkinga au wa kupewa chiu?πHuo sasa uongo πΉπΉ
Lamba Joker π€£
Piga kazi huyo mangi asikuacheJirani ngoja nifanye kazi humu leo nacheka sana πΉπΉ
Acha ujinga πΉπΉPiga kazi huyo mangi asikuache