Guys hapa Arusha kuna vyuma sio poa

Chai
 
Wanakula bangi hao sio poa
Hawa mashemeji sawa ila sio hawa warembo naowaona mbona midomo haijavimba kwa ndumu. Kaka zao kweli nimekodi bodaboda hizi 180 za mchina yule mpuuzi na nywele zake kama FidoDido alikuwa aniue leo
 
Nilijua angalao uliona mbao,kumbe vyuma?Taifa lina uzwa hivyo hivyo shauri yako?
 
Ni mbraaaya bablai ndo maana tuliosoma Arusha hutuelezi kitu kuhusu kuhama huku, au kama tumehama basi kila mwaka lazima tufosi kurudi japo mara 1 kwa mwaka💪
 
Vijana mrudieni muumba wenu huku mkijiandaa kutiki October 29.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…