Guys hapa Arusha kuna vyuma sio poa

Eti Mkunguni posta🤣 huwa unashinda kwenye yale magazeti , fundi viatu Au wakati unasubiri daladala?😂
 
Hata wakaka wa huko wapo vizuri, wanavutia na ngozi zao za ngamia.
 
Ras juzi tu hapo wamemuua hayo mambo kupendapenda chini
 
Wanywa gongo na wavuta mirungi, hao aliowaona watalii 😹
Sio kweli pisi za chunga ndio za singida manyara moshi na Tanga, hata hapo daslamu ndio hizo hizo zinakimbiza😅
 
Sio kweli pisi za chunga ndio za singida manyara moshi na Tanga, hata hapo daslamu ndio hizo hizo zinakimbiza😅
Unatetea dada zako 😹😹
Sasa walioungua na meno na kudondokea bafuni kina nani??

Chuga si wamasai na wambulu?
Moshi hapo itoe hao ni special case..!! 😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…