Jiji la arusha lina wanyaturu, wasonjo , wamasai , wa Iraq, wama nga'ati , wachaga , wameru ,wapare , warangi , wasambaa, wadigo , , na haya makabila zipo fimbo zimesimama hatari๐คฃUnatetea dada zako ๐น๐น
Sasa walioungua na meno na kudondokea bafuni kina nani??
Chuga si wamasai na wambulu?
Moshi hapo itoe hao ni special case..!! ๐น๐น
Inaharibu akili ikitumika kupita kiasiB
Bange Ina shida gani ndugu yangu
Wahadzabe mbona umewaacha au wenyewe sio wa Arusha?Jiji la arusha lina wanyaturu, wasonjo , wamasai , wa Iraq, wama nga'ati , wachaga , wameru ,wapare , warangi , wasambaa, wadigo , , na haya makabila zipo fimbo zimesimama hatari๐คฃ
Toa hayo makabila yanayopatikana hapo arusha , watoe daslamu halafu taja warembo waliobaki๐คฃ
Sio wahamiaji , jiji la arusha lina karibu robo tatu ya wakazi wote wa mikoa ya kaskazini.Wahadzabe mbona umewaacha au wenyewe sio wa Arusha?
Sasa wewe umewaweka mpk wahamiaji min, wahaya, wanyamwezi, wakinga, wanyakyusa, wasafwa. Masogange unajua ilikuwa chuma ya wapi? ๐น๐น
Nenda Green city ukageuke uone watu walivyoumbwa wakaumbika achana na misumali hiyo..!! ๐น๐น๐นSio wahamiaji , jiji la arusha lina karibu robo tatu ya wakazi wote wa mikoa ya kaskazini.
Kusini ni wazuri sana , ila unaweza tembea masaa matutu ndio uwaone ๐
Sio niende iringa ni kama kwangu , mbeya napafahamu vizuri sana , wapo wazuri kiasi chake , ila kufunga turbo na kumiliki vitambi ya nguruwe kusini mnatisha ๐คฃNenda Green city ukageuke uone watu walivyoumbwa wakaumbika achana na misumali hiyo..!! ๐น๐น๐น
Huko watu wamefunga turbo wapo km wesusiwa hips na wowowo ๐น๐น
Hao huko ni weupe tu ndio unawabeba kwa hilo sikatai
Wewe unakutana na wauza ndizi bana..!! ๐น๐นSio niende iringa ni kama kwangu , mbeya napafahamu vizuri sana , wapo wazuri kiasi chake , ila kufunga turbo na kumiliki vitambi ya nguruwe kusini mnatisha ๐คฃ
Hao wa turbo ambao hawana vitambi labda uniambie kanda ya ziwa๐คฃ
Hahaha kusini kuna uhaba wa pisi bhana , sema wewe unavutia tu kwenu๐คฃ hao wachaga unaowasemea sio wasasa.Wewe unakutana na wauza ndizi bana..!! ๐น๐น
Vitambi wanaoongoza wachaga ๐คฃ
Shepu zao zipo km simba juu wakubwaaaa chini wadogo ๐น๐น๐น
Wahaya flat tummy na wanyamwezi, ushawahi kuwaona wanyamwezi waliomix na waarabu? Ningeweka picha sema nitakuwa nambunjia heshima bibi yangu..!!
Wewe inachanganya weupe na vyuma..!!Hahaha kusini kuna uhaba wa pisi bhana , sema wewe unavutia tu kwenu๐คฃ hao wachaga unaowasemea sio wasasa.
Hahahahahah kusini nakataa kabisa , wala sio mambo ya weupe , huko zipo chuma za kikaksi hatari, japo wazuri hakuna sehemu wanakosekana๐Wewe inachanganya weupe na vyuma..!!
Mimi nna rafiki yangu manka ana rangi nzuri Ila shepu sasa ๐น๐น
Ukiona mchaga ana shepu basi kamix kabila, kusini kwa moto..!!
Haya kuna Jokate kutoka kusini, ile mi shangingi yโa kkoo yenye mitraacoo na mibebi face yote ile ya mtwara..!! Sema ni vile sio maarufu..!! ๐น๐น
Naunga mkono hoja ile ni ya kupiga haste hasteInaharibu akili ikitumika kupita kiasi
Wewe kusini kuchelee ๐น๐นHahahahahah kusini nakataa kabisa , wala sio mambo ya weupe , huko zipo chuma za kikaksi hatari, japo wazuri hakuna sehemu wanakosekana๐
๐คNaunga mkono hoja ile ni ya kupiga haste haste
Kusini fimbo zipo songea kwa wangoni tu๐Wewe kusini kuchelee ๐น๐น
Kusini yote ya moto, acha kufananisha watoto wa kusini na vitu vya ajabu..!! ๐น๐นKusini fimbo zipo songea kwa wangoni tu๐
Kapicha basii sisi Huku dar es salaam Tanzania tuwaonee.Wapo vizuri sana
Hahahaha uzuri sio misambwanda tuKusini yote ya moto, acha kufananisha watoto wa kusini na vitu vya ajabu..!! ๐น๐น
Kusini watu wamesusiwa misambwanda sio mpk uende uturuki..!!