Guys hapa Arusha kuna vyuma sio poa

Hao wahaya wanapishana uchagan kuchukua wachumba🀣
 
Hao wahaya wanapishana uchagan kuchukua wachumba🀣
Stop, kadi tatu 😹😹
Wachaga wengi wanaoa wanyaki..!!
Sema wakinga ndo majeuri kuoa kabila nje ya wakinga wenzao, wamejitahidi basi wataoa wanyaki..!!

Sema babu yangu ndo alikuwa jeuri alivuta mmanga 😹😹
 
Wahaya wana maumbo na si wote ndio ila sura zao kama wanataka kulia,, hapana hawawezi kufikia Arusha bhana

Kuna dada ni jirani yangu ana shape la kwenda na ni pure chaga
 
Wahaya wana maumbo na si wote ndio ila sura zao kama wanataka kulia,, hapana hawawezi kufikia Arusha bhana

Kuna dada ni jirani yangu ana shape la kwenda na ni pure chaga
😹😹😹 Una utani na kina koku sura km nini??

Kapeace matraco yako, pombe unazokunywa leo zimeflot angalia vizuri 😹
 
Muhaya labda awe amechovya kwa jirani hapo tutsi au nyankole ila pure muhaya hatazamiki mara mbili,, pisi mbovu tusidanganyane Lamomy
Kuna koku pure huku yupo km malaika sema tu weusi Ila ule wa kuteleza..!!
 
Stop, kadi tatu 😹😹
Wachaga wengi wanaoa wanyaki..!!
Sema wakinga ndo majeuri kuoa kabila nje ya wakinga wenzao, wamejitahidi basi wataoa wanyaki..!!

Sema babu yangu ndo alikuwa jeuri alivuta mmanga 😹😹
Wachaga wanaoa sana wa Iraq na wanyaturu , na wasukuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…