Guys hapa Arusha kuna vyuma sio poa

Arusha ni mji umebeba warembo wa kirangi , kinyaturu kinyeramba, ki Iraq, kichaga , kisonjo ,kipare , kimangati , kimeru , ambapo inasemekana ndio makabila yenye wadada warembo pia
Wazuri hao kwasababu sio Mabantu
 
Hao wa Dar wengi asili yao ni Arusha, Kilimanjaro na Manyara
 
Kusini yote ya moto, acha kufananisha watoto wa kusini na vitu vya ajabu..!! 😹😹

Kusini watu wamesusiwa misambwanda sio mpk uende uturuki..!!
Alafu huyo mwenye kitako kigumu kama kitako cha bunduki ni mkinga mwenzio🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…