Guys kuweni makini na wake za watu.

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] akamtie busha tu
 
Mwambie ajipange,akinipofua nami namtia uhanithi tuone nani ni nani!!!hahaha kidding,hizi issue ni serious sio za kutania hata kidogo.mie nna jamaa angu alikanywa na mme mtu akaleta kiburi navoandika hapa hapigi mzigo akiforce sausage ikiwa inatema mate anasikia kama mle ndani mnapita viwembe,yaani hana raha ya maisha.
 
Aisee wewe mleta mada naomba utumie busara Zaidi ya hizi, mtafute Mzee wa Kanisa/Sheikh umuelezee hiyo story mpange umkutanishe huyo mtu na hao watu wa Mungu waweze kumuelezea kiimani, HUYO JAMAA ANAEIBA MKE SAWA ANAFANYA VIBAYA SANA, Ila ameshawaza kama huyo jamaa ana MKE, WATOTO, BABA NA MAMA ZAKE WANAMTEGEMEA?? ASIDHANI ANAMTESA HUYO JAMAA TU, Anatesa watu si chini ya 5 kama sio 6, usikute ana yatima 3 anawasomesha yeye, AMESHAWAZA HAO YATIMA???? watakuwa hali gani? Cha msingi mkutanishe na watu wa Mungu NA HAO PIA WATAWEZA MPA USHAURI NINI CHAKUFANYA.....JARIBU KUWA NAE KARIB SANA, Huwezi jua anaweza badili maamuzi akaamua kujimaliza yeye mwenyewe yote yanawezekana. DO SOMETHING PLEASE.
 
wake za watu wa nini? wakati mademu kitaa kibao hawana hata mabwana
Wengi huwa wanaingia Kwa wake za watu Kwa sababu wanawake wengi sio waaminifu, mtu unamuuliza umeolewa, anakijibu hapana yupo single, Sasa hapo unategemea nini?
 
Well said, cha msingi busara tu itumike, ajalibu kukaa na mke wake amueleze kwamba anajua kila kitu na amuambie waache, na pia anaweza kutumia mtu yeyote aende mpaka Kwa Jamaa na kumsihi Aachana na mke wa mtu.
 
Well say... Sema kabla ya kuweka huu uzi niliongea na jamaa kwa kina nimefupisha tuu, huyu jamaa tulimpa Jina la Saddam Hussein yani anamisimamo balaa.

jamaa anaekula mali za Watu namfahamu vizuri nilishakutana nae katika semina flani flani, Labda nitenge muda nikae nae chini huyo Labda lakini sio huyu mjaidina ni ngumu na nasikitika tuu kua ata kama jamaa atapepeza bendera nyeupe Nafikiria kukubali kwa huyu mjaidina anamisimamo sio mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…