Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaka mkanye mkeo wizara sio mali yangu
Aya mambo mengine haya[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] akamtie busha tu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] akamtie busha tu
nmeirudisha mkuuu.... mzima lakinUmerudisha hii ID!
Niliimiss
hahahahaaaa anasikilizia utamu mpaka kisogoni! maana mke wa mtu mtamu mpaka watu wanajisahau mpaka wanafumaniwa!nina waza kwa sauti jamaa wakati anakula tunda kimoyo moyo anaimba huo wimbo
nmeirudisha mkuuu.... mzima lakin
hatari sanahahahahaaaa anasikilizia utamu mpaka kisogoni! maana mke wa mtu mtamu mpaka watu wanajisahau mpaka wanafumaniwa!
yaani hatari kinouma!hatari sana
Sasa kama mke ndio kicheche huyu jamaa si anagawa upofu sana?Aya mambo mengine haya
Wengi huwa wanaingia Kwa wake za watu Kwa sababu wanawake wengi sio waaminifu, mtu unamuuliza umeolewa, anakijibu hapana yupo single, Sasa hapo unategemea nini?wake za watu wa nini? wakati mademu kitaa kibao hawana hata mabwana
huyo basi hampendi mume wakeWengi huwa wanaingia Kwa wake za watu Kwa sababu wanawake wengi sio waaminifu, mtu unamuuliza umeolewa, anakijibu hapana yupo single, Sasa hapo unategemea nini?
Well said, cha msingi busara tu itumike, ajalibu kukaa na mke wake amueleze kwamba anajua kila kitu na amuambie waache, na pia anaweza kutumia mtu yeyote aende mpaka Kwa Jamaa na kumsihi Aachana na mke wa mtu.Mshauri huyo mtu wa Mafia,atumie busara alizopewa na mwenyezi Mungu.
Kama ni ukipofu anapaswa kumpa mke wake ambaye hajitambui.
Anahangaika na huyo mmoja anayemjua,kama wapo wengine asiowafahamu je.???
Na vipi akianzisha mahusiano na wanaume wengine,nao ataenda kuwapofoa macho...???
Wanawake huwa sometimes wanajitoa ufahamu. Akidakwa anaaza kuliahuyo basi hampendi mume wake
akila unamkata vibao vya kutosha tuWanawake huwa sometimes wanajitoa ufahamu. Akidakwa anaaza kulia
Well say... Sema kabla ya kuweka huu uzi niliongea na jamaa kwa kina nimefupisha tuu, huyu jamaa tulimpa Jina la Saddam Hussein yani anamisimamo balaa.Aisee wewe mleta mada naomba utumie busara Zaidi ya hizi, mtafute Mzee wa Kanisa/Sheikh umuelezee hiyo story mpange umkutanishe huyo mtu na hao watu wa Mungu waweze kumuelezea kiimani, HUYO JAMAA ANAEIBA MKE SAWA ANAFANYA VIBAYA SANA, Ila ameshawaza kama huyo jamaa ana MKE, WATOTO, BABA NA MAMA ZAKE WANAMTEGEMEA?? ASIDHANI ANAMTESA HUYO JAMAA TU, Anatesa watu si chini ya 5 kama sio 6, usikute ana yatima 3 anawasomesha yeye, AMESHAWAZA HAO YATIMA???? watakuwa hali gani? Cha msingi mkutanishe na watu wa Mungu NA HAO PIA WATAWEZA MPA USHAURI NINI CHAKUFANYA.....JARIBU KUWA NAE KARIB SANA, Huwezi jua anaweza badili maamuzi akaamua kujimaliza yeye mwenyewe yote yanawezekana. DO SOMETHING PLEASE.
Akikujua ndio balaa zaidiSasa kama mke ndio kicheche huyu jamaa si anagawa upofu sana?