Guys naombeni ushauri

Mkuu jinsi ambavyo imani Yako ni strong Katika kuamini kutokuwepo Kwa Mungu au hizo dini.... Ndivyo na mimi naamini Katika uwepo wa Mungu...
 
Mkuu jinsi ambavyo imani Yako ni strong Katika kuamini kutokuwepo Kwa Mungu au hizo dini.... Ndivyo na mimi naamini Katika uwepo wa Mungu...
Yani umejibu kama nimejibiwa na babe duuuh naona giza mbele
 
Please kama ni maombi ningeitaji ningeyapata kwa mwenzangu preacher ila nimeitaji msaada wa kimawazo so please sitaki kufika mbali ila ungenishauri vingine tuu lakini si maombi, sijui kama umeelewa thread yangu
Huyu aliyeandika ni shetani si wew...wew huna mawazo ya kishetani ila shetani ndo anakuongoza...lakin usijali huyo shetani ntafunga na kuomba aweze kukuachia katika maisha yako
 
Watu wanatafuta wake ambao ni mabinti wacha Mungu we hautaki, unataka wanaoenda club na wanywa pombe.. Watch out
 
Huyu aliyeandika ni shetani si wew...wew huna mawazo ya kishetani ila shetani ndo anakuongoza...lakin usijali huyo shetani ntafunga na kuomba aweze kukuachia katika maisha yako
Sikuelewi, sijui kama unaelewa unachosema
 
Mm walokole wananichekeshaga sana heehe kwanza ukiwa mwanamke lazima uolewe na mlokole mwenzio tena hapo hapo kanisani viseversa is true
Hehe kwakwe pole kijana hapo chagua moja uhamie kanisan kwao au umkose maana watu kama hao kamwe hawawezi kubadilika
 
Daaah
 
Wakija kuoana ni shida, kila mmoja atakuwa kikwazo kwa mwenzie, huyu hataki uende bar, huyu hataki uende kanisani. Afu sipendi mambo ya kulazimishana mtu abadilike ili afanane na mimi, unless ameamua mwenyewe kubadilika. Imagine huyu anaenda kanisani kiushahidi tu, moyoni anakwazika. Hanywi beer mbele ya msichana, huku nyuma anakunywa weee. Usishangae huyu bwana akawa na mambo yake kisiri siri, siku wakioana ndo nyumba inageuka uwanja wa ngumi. Waamue ni njia ipi wanaifuata pamoja au kila mtu ashike njia yake
 
Ntaacha tungi tuu japo ntaibia ibia na kanisani ntaenda huyu binti si wakukosa
 
Kabisa mkuu... Ndo maana Maswala ya imani sio ya ku overlook Katika mahusiano, yana impact kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…