jogoo mtata
Senior Member
- Sep 3, 2016
- 159
- 160
Mkuu jinsi ambavyo imani Yako ni strong Katika kuamini kutokuwepo Kwa Mungu au hizo dini.... Ndivyo na mimi naamini Katika uwepo wa Mungu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani umejibu kama nimejibiwa na babe duuuh naona giza mbeleMkuu jinsi ambavyo imani Yako ni strong Katika kuamini kutokuwepo Kwa Mungu au hizo dini.... Ndivyo na mimi naamini Katika uwepo wa Mungu...
Huyu aliyeandika ni shetani si wew...wew huna mawazo ya kishetani ila shetani ndo anakuongoza...lakin usijali huyo shetani ntafunga na kuomba aweze kukuachia katika maisha yakoPlease kama ni maombi ningeitaji ningeyapata kwa mwenzangu preacher ila nimeitaji msaada wa kimawazo so please sitaki kufika mbali ila ungenishauri vingine tuu lakini si maombi, sijui kama umeelewa thread yangu
Hahahaa inawezekana tunafanana Sana mitazamoYani umejibu kama nimejibiwa na babe duuuh naona giza mbele
Sikuelewi, sijui kama unaelewa unachosemaHuyu aliyeandika ni shetani si wew...wew huna mawazo ya kishetani ila shetani ndo anakuongoza...lakin usijali huyo shetani ntafunga na kuomba aweze kukuachia katika maisha yako
Yani patner nabanwa balaaa nakosa amani kabisaWatu wanatafuta wake ambao ni mabinti wacha Mungu we hautaki, unataka wanaoenda club na wanywa pombe.. Watch out
Hatuelewani
Ahsante kuwa mgeni wangu tafadhariIn short we braza ni mtu wa sengerema sana
Ahsante kuwa mgeni wangu tafadhari
Ahsante Mwanaume.Karibu kiumeni[emoji1619]
Ahsante Mwanaume.
DaaahMm walokole wananichekeshaga sana heehe kwanza ukiwa mwanamke lazima uolewe na mlokole mwenzio tena hapo hapo kanisani viseversa is true
Hehe kwakwe pole kijana hapo chagua moja uhamie kanisan kwao au umkose maana watu kama hao kamwe hawawezi kubadilika
Wakija kuoana ni shida, kila mmoja atakuwa kikwazo kwa mwenzie, huyu hataki uende bar, huyu hataki uende kanisani. Afu sipendi mambo ya kulazimishana mtu abadilike ili afanane na mimi, unless ameamua mwenyewe kubadilika. Imagine huyu anaenda kanisani kiushahidi tu, moyoni anakwazika. Hanywi beer mbele ya msichana, huku nyuma anakunywa weee. Usishangae huyu bwana akawa na mambo yake kisiri siri, siku wakioana ndo nyumba inageuka uwanja wa ngumi. Waamue ni njia ipi wanaifuata pamoja au kila mtu ashike njia yakeMkuu hamna kitu inastress n kudiscourage relationship kama mambo ya dini... At the end itabidi nyinyi mfanye uchaguzi.... ni mapenzi au dini
Hata me nna boyfriend wangu mambo ya dini hana Sana na hata mimi safari zangu za kwenda kanisani naona huwa hazimfurahishi, tunapendana kweli, lakini najua kabisa Kuna wakati utafika wa kuchagua ni mapenzi au ni Mungu, najua kabisa kwangu Mungu comes before all....you're in that situation, pole
Ntaacha tungi tuu japo ntaibia ibia na kanisani ntaenda huyu binti si wakukosaWakija kuoana ni shida, kila mmoja atakuwa kikwazo kwa mwenzie, huyu hataki uende bar, huyu hataki uende kanisani. Afu sipendi mambo ya kulazimishana mtu abadilike ili afanane na mimi, unless ameamua mwenyewe kubadilika. Imagine huyu anaenda kanisani kiushahidi tu, moyoni anakwazika. Hanywi beer mbele ya msichana, huku nyuma anakunywa weee. Usishangae huyu bwana akawa na mambo yake kisiri siri, siku wakioana ndo nyumba inageuka uwanja wa ngumi. Waamue ni njia ipi wanaifuata pamoja au kila mtu ashike njia yake
That's love nowNtaacha tungi tuu japo ntaibia ibia na kanisani ntaenda huyu binti si wakukosa
Kabisa mkuu... Ndo maana Maswala ya imani sio ya ku overlook Katika mahusiano, yana impact kubwa sanaWakija kuoana ni shida, kila mmoja atakuwa kikwazo kwa mwenzie, huyu hataki uende bar, huyu hataki uende kanisani. Afu sipendi mambo ya kulazimishana mtu abadilike ili afanane na mimi, unless ameamua mwenyewe kubadilika. Imagine huyu anaenda kanisani kiushahidi tu, moyoni anakwazika. Hanywi beer mbele ya msichana, huku nyuma anakunywa weee. Usishangae huyu bwana akawa na mambo yake kisiri siri, siku wakioana ndo nyumba inageuka uwanja wa ngumi. Waamue ni njia ipi wanaifuata pamoja au kila mtu ashike njia yake