Guys! Nimefungua classfied site (Bishoo)

Guys! Nimefungua classfied site (Bishoo)

keneddelly

Member
Joined
Feb 11, 2020
Posts
41
Reaction score
70
Guys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.

Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.

Najua humu kuna watu professional wa kunisaidia kuweza kufikia lengo.
Address yake ukibonyeza hapa unafika Bishoo

Ni hivyo tuu ,mbarikiwe sana.
 
Hongera Kwa ubunifu Mkuu

Ila pamoja na pongezi zangu, nashauri japo sio lazima

Ukiweza badirisha jina la website yako ili kuondoka mtanziko uliopo.

Ukikosa jina zuri, unaweza kutuomba hapa tukakushauri jina zuri ambalo litaendana na biashara yako

Kila la heri Mkuu 🙏🙏
 
Screenshot_20241119-151649~2.png

Mimi sio IT, lakini hii Website umetisha mkuu...

Keep it up!!
 
Hongera Kwa ubunifu Mkuu

Ila pamoja na pongezi zangu, nashauri japo sio lazima

Ukiweza badirisha jina la website yako ili kuondoka mtanziko uliopo.

Ukikosa jina zuri, unaweza kutuomba hapa tukakushauri jina zuri ambalo litaendana na biashara yako

Kila la heri Mkuu 🙏🙏
Nashukuru kwa ushauri kaka 🙏🙏
 
Back
Top Bottom