Guys! Nimefungua classfied site (Bishoo)

Kikubwa hapo ni suala la utapeli bongo utakuja kukuweka matatani alafu pia je unakula commissions au fee ya kutangaza payment intergresion zikoje usalama na urahisi wa malipo

Refund policies n.k

Anyway nakuja PM
Kwa sasa naruhusu wachache (verified) kupost bidhaa..in future kama kutakuwepo na matokeo chanya naweza kuongeza baadhi mambo ili kumlinda mteja.
 
Guys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.
Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.
Najua humu kuna watu professional wa kunisaidia kuweza kufikia lengo.
Address yake ukibonyeza hapa unafika Bishoo
Ni hivyo tuu ,mbarikiwe sana.

Hongera kwa kuanzisha.

Kwanza kabisa.

Jitahidi upunguze load time. Nimejaribu kufungua imechukua sekunde 15 mpaka 35.

Jitahidi iwe chini ya sekunde 7.
 
Nalifanyia kazi hilo boss..nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri sana..🙏🙏🙏
 
Naomba anaejua namna nyepesi ya kufanya marketing ya hii site anisaidie tafadhari.natanguliza shukrani..Bishoo to the world 🌎
 
Ukifanikiwa wewe, Kuna ma-IT wawili watatu utawaajiri kupitia biashara yako, wakati huo huo Kuna akina siye ambao tunaweza kupata unafuu wa kununua bidhaa kupitia website yako

Kila la heri Mkuu
Ahsante sana kaka🙏🙏
 
Ubalikiwe sana lakin ibadilishe jina iite hata St joseph au Tanzania shopping

Asante sana

Una akili sana ndugu yangu
Hongera Kwa ubunifu Mkuu

Ila pamoja na pongezi zangu, nashauri japo sio lazima

Ukiweza badirisha jina la website yako ili kuondoka mtanziko uliopo.

Ukikosa jina zuri, unaweza kutuomba hapa tukakushauri jina zuri ambalo litaendana na biashara yako

Kila la heri Mkuu 🙏🙏
Hakuna jina zuri la biashara watu wengi jambo hili hawalifahamu ukishatumia jina Tanzania shopping
Tanzania soko Tanzania sell hili jina Tanzania❌ online shopping❌ limeshatumika mara nyingi haliwezi kukuletea matokeo

Ni lazima ujue unapataje jina la biashara ulikuwa wapi eneo ulikuwa na nani au wakati mpo pamoja na jamaa zako mlikuwa mkipiga story gani
Jina la biashara linaloleta matokeo mara nyingi inategemea na mahali wazo ulikolipata mfano muda huu naoandika hii post likanijia wazo la kufanya naweza nikatumia jina lako Mayala B watu wengi watakuja na majina mengi ila Mimi jina litabakia kuwa tofauti na kukumbukwa na wateja sababu limetokana na asili /USER] na jina likakubalika
 
Bado sijafungua app ni website tuu kaka..Ila namuomba mungu mwaka huu nifanikishe app
Jambo jema kazi nzuri
ila kabla haujafikiria kusogea hatua kwenda mbele ni lazima uhakikishe una Business plan
Kuanzisha biashara yoyote ni kazi rahisi ila kuandaa mpango wa biashara hiyo ni kipengere lazima upate njia za uhakika kabisa za kufanisha kazi yako kwenda mjini pia na watu ambao ukiwatumia utapata matokeo
Omba sana Mungu atakusaidia
 
Hakuna jina zuri la biashara watu wengi jambo hili hawalifahamu ukishatumia jina Tanzania shopping
Tanzania soko Tanzania sell hili jina Tanzania❌ online shopping❌ limeshatumika mara nyingi haliwezi kukuletea matokeo

Ni lazima ujue unapataje jina la biashara ulikuwa wapi eneo ulikuwa na nani au wakati mpo pamoja na jamaa zako mlikuwa mkipiga story gani
Jina la biashara linaloleta matokeo mara nyingi inategemea na mahali wazo ulikolipata mfano muda huu naoandika hii post likanijia wazo la kufanya naweza nikatumia jina lako Mayala B watu wengi watakuja na majina mengi ila Mimi jina litabakia kuwa tofauti na kukumbukwa na wateja sababu limetokana na asili /USER] na jina likakubalika
Kwahiyo unaona sawa kuwa na jina la biashara la kuitwa Bishoo

Hivi unadhani watu wazima wataweza kutembelea hiyo website?

Labda kama umelenga kuwahudumia Mabishoo tupu na sio watu wote
 
Sina lakusema kuhusu hilo sijui kama ameandaa bussiness plan angekuja kusema soko lake anatarget wateja gani
 
Kwahiyo unaona sawa kuwa na jina la biashara la kuitwa Bishoo

Hivi unadhani watu wazima wataweza kutembelea hiyo website?

Labda kama umelenga kuwahudumia Mabishoo tupu na sio watu wote
Nadhani hii Bishoo ni tafsiri yako Ila Mimi sijaweka tafsiri hiyo..nimelenga kuleta kitu kitakachokumbukwa kiwepesi.
Kuhusu watu kuamini na kutembelea itategemea na namna ninavyowahudumia.
Nimekuwa nikitulia jina Bishoo store kwenye biashara zangu na wateja wamekuwa wananunua bidhaa bila kujali maana ya Hilo neno.
 
Jambo jema kazi nzuri
ila kabla haujafikiria kusogea hatua kwenda mbele ni lazima uhakikishe una Business plan
Kuanzisha biashara yoyote ni kazi rahisi ila kuandaa mpango wa biashara hiyo ni kipengere lazima upate njia za uhakika kabisa za kufanisha kazi yako kwenda mjini pia na watu ambao ukiwatumia utapata matokeo
Omba sana Mungu atakusaidia
Hilo ndio Wazo ambalo nimekuwa nikipenda kulisikia..kwakweli kuna muda naona naitaji team yenye maono
 
Guys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.

Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.

Najua humu kuna watu professional wa kunisaidia kuweza kufikia lengo.
Address yake ukibonyeza hapa unafika Bishoo

Ni hivyo tuu ,mbarikiwe sana.
Hongera kwa kazi nzuri ulioifanya
Swali langu ni wewe utapataje pesa kupitia trade zitakazo fanyika kwenye hio website? Ukiachana na Ads/domain

Ni wazo zuri. Ila mm naona hao watu wenye bidhaa kwenye hio platform yako. Ungekuwa una Team yako ambayo imewakagua kuwa ni legit na duka lao au sehemu zao za kazi unazifahamu ikibidi uwe navNida/ TIN number zao hata siku wizi ukitokea unawakuwapata.

Naona ubadili jina la website kama una lengo ya kui scale kuwa kubwa kwani ni wazo zuri balo ata ukiwapelekea watu wakubwa au kampuni wanaweza kukufadhili. Kwangu mimi naona bishoo limelenga sana vijana kwa mawazo ya haraharaka . Je ni kwanini umeamua kuiita bishoo?
 
Nadhani hii Bishoo ni tafsiri yako Ila Mimi sijaweka tafsiri hiyo..nimelenga kuleta kitu kitakachokumbukwa kiwepesi.
Kuhusu watu kuamini na kutembelea itategemea na namna ninavyowahudumia.
Nimekuwa nikitulia jina Bishoo store kwenye biashara zangu na wateja wamekuwa wananunua bidhaa bila kujali maana ya Hilo neno.
Umewahi kufanya tathmini kujua Rika la wateja unaowahudumia?

Huenda Mimi ni wale Wanaume wakuda/old school ndiyo maana nahisi hilo jina Bishoo halifai kuwa jina la biashara kama unalenga kuwahudumia watu wa Rika lote
 
Back
Top Bottom