Guys! Nimefungua classfied site (Bishoo)

Guys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.

Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.

Najua humu kuna watu professional wa kunisaidia kuweza kufikia lengo.
Address yake ukibonyeza hapa unafika Bishoo

Ni hivyo tuu ,mbarikiwe sana.
Good work , hongera kwa uthubutu naimani utapata ujuzi zaidi wa kufanya mabadiliko kidogo upande wa UI
 
Lazima negativity ziwe nyingi tukiwa na ukosoaji mwingi pia tutapata solution nyingi ila huwa napingana na watu wanaoamini jambo Fulani haliwezekani kabisa mtu anakuja hapa na kusema mbuni vitu vingine
Hizo negativity zinapaswa zitoke Kwa walengwa(targeted customers), ndio maana nimeandika atumie muda mwingi kuzungumza na wateja wake na sio hapa jamiiforums
 
Tumefanya mabadiliko makubwa na sasa naona impressions nyingi Asante sana wadau wa jamii forum kwa pamoja tunaweza kukuza mtandao wetu.
Kiukweli nipo na tight budget ya marketing,kama kuna mtu anaweza kunisaiida ata kusambaza kwa magroup anaweza kuwa ametoa msaada mkubwa sana.
Mimi naamini sadaka sio lazima kanisani ata kusaidia watu kama sisi ni sadaka kwa maana na sisi tunashika wengine mikono .
Unaweza kutembelea >>www.Bishoo.co.tz
 
Mkuu naomba ujibu ili swali. Kwa nini uliamua kuiita Bishoo??

Maana kwa first impressionkwa ilo jina ' bishoo' mtu anawez kuona mbona kama n website y vijsna au rika flani.

Mi kwangu naona bora ubadili jina Ita make sense kwa first impression kua ni website ya kuuza na 1kununua

Swala la marketing
Tembelea wanachuo na wafanyabiashara ili uwape awareness kuhusuiana hii web. Ndo upate trafic nying y watu wanao tumia hio web ili uweze ku apply Google adsence

Pia tengeneza sponsored ads za social media zikusaidie kutangaza

Ila jina badilisha. Sizani ata siku ukiwapelekea ksmpuni fulan au mtu akuzamini au patnship ataanza na ishu ya jina.

Yangu n hayo
 
Mkuu naomba ujibu ili swali. Kwa nini uliamua kuiita Bishoo??

Maana kwa first impressionkwa ilo jina ' bishoo' mtu anawez kuona mbona kama n website y vijsna au rika flani.

Mi kwangu naona bora ubadili jina uiite BUYSELL Ita make sense kwa first impression kua ni website ya kuuza na 1kununua

Swala la marketing
Tembelea wanachuo na wafanyabiashara ili uwape awareness kuhusuiana hii web. Ndo upate trafic nying y watu wanao tumia hio web ili uweze ku apply Google adsence

Pia tengeneza sponsored ads za social media zikusaidie kutangaza

Ila jina badilisha. Sizani ata siku ukiwapelekea ksmpuni fulan au mtu akuzamini au patnship ataanza na ishu ya jina.

Yangu n hayo
Qwe ukisikia alibaba unapata impression gan? au ukisiakia kikuu unapata impression gan kitu cha msingi apambanie kuikuza hio boshoo iwe brand kubwa fikilia Diamond angesikiliza ushauri wa netzens wakat anaita brand yake Wasafi Classic Baby
 
Guys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.

Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.

Najua humu kuna watu professional wa kunisaidia kuweza kufikia lengo.
Address yake ukibonyeza hapa unafika Bishoo

Ni hivyo tuu ,mbarikiwe sana.
Safi sana kijana, hongera sana kwa kazi nzuri, umefanya jambo kubwa na zuri sana, endelea hivyo hivyo 💯 keneddelly
 
Qwe ukisikia alibaba unapata impression gan? au ukisiakia kikuu unapata impression gan kitu cha msingi apambanie kuikuza hio boshoo iwe brand kubwa fikilia Diamond angesikiliza ushauri wa netzens wakat anaita brand yake Wasafi Classic Baby
Tangu ameleta uzi humu JF kuhusu idea yake tumekua tunashauriana nae anafanya maboresho kwenye website. Hio ya kuweka vitu kwenye category kama ni cosmetic au funiture nilitoa ilo wazo mm fuatilia post za nyuma.

Sio 'Boshoo' kama ulivyoandika ww inaitwa 'bIshoo'.

Neno 'Bishoo' maana yake inajulikana kwa wabongo. Ni neno la msimu lilo tumiwa kipindi flani uko nyuma Kuwa ni kijana barobaro anaependa kuvaa mavazi na kuendana na trendna muonekano wa kisasa au kwa jina lingine/synonym waite tozi, nyangema, sharobaro.
Huoni lina impact fulani kwenye identity ya website

Ndo maana nikamtaka anipe sababu ya kuliita hivyo. Huenda anasababu zke za msingi.

Sasa ukutane na Bishoo..co.tz
Harakahark bila kufungua hio website mtu hawezi kujua ni kinafanyika ndani ni mpka umuelezee mtu ndo ajue kinacho tendeka ndani ya website.

Isitoshe biashara ya kuuuza na kununua Tanzania bado ni changa. Hivyo inabidi mtu akianzisha aje na kitu tofauti na kilnachoweza kuwa markatable na ku expand ata East Afrika. Sasa ukiita bishoo. Kesho mwingine aje na nyingine inaitwa Tozi mara nyangema. Inabidi na majina ya make sense

alibaba atleat unawez kusema jina na mtu
Kikuu unaweza zani ni ukuu
Wcb angalau ukiliweka kwenye short form linavutia
 
Hilo jina mpaka muda huu limesajiliwa na niliamua kuliita hivyo kwa sababu zangu binafsi…impression ya mtu kwa siku ya kwanza itamuathiri Ila kama huduma zetu zinatakuwa za kuaminika ataendelea kutuamini..labda nikwambie kitu mpaka sasa Mimi na maduka mawili yote nimeyaaita bishoo..moja ni @bishoo_store Unaweza kuliona IG na lingine ni @bishoo_fashion.
Kuhusu kufanya biashara kwangu nafanya na wengi Ila kuhusu classified ads site ndio nilitaka msaada..
 
Ahsante sana …nilikuwa naomba msaada kwenye marketing strategies nizitumie…hizo mambo ya jina haina madhara kwa mawazo yangu .
 
Hil
Qwe ukisikia alibaba unapata impression gan? au ukisiakia kikuu unapata impression gan kitu cha msingi apambanie kuikuza hio boshoo iwe brand kubwa fikilia Diamond angesikiliza ushauri wa netzens wakat anaita brand yake Wasafi Classic Baby
o o ndio Wazo zuri kaka
 
Nimechelewa Kusoma, Nafikiri Sijachelewa kuchangia Sitokusifia chochote nitaenda kwenye Maboresho

1.SSL Certificate

2.Classfied Ads Means 90% Visual

3.Home page inatakiwa kuwa na Featured Products na sio Categories

4.Currency Inaandikwa kwa Capital Ukishindwa At least Anza na Capital

5.Tsh 50,000/= Sio 50,000tsh

6.Top Bar

7.Perfomance, Site Speed ipo chini itapelekea Site yako kushindwa Rank kwenye Search Engine Tumia Webp, Lazyload,Cache Run Test on Page Speed Insights

8.Soma Digital Marketing
 
Guys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.

Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.

Najua humu kuna watu professional wa kunisaidia kuweza kufikia lengo.
Address yake ukibonyeza hapa unafika Bishoo

Ni hivyo tuu ,mbarikiwe sana.
Tunapata meseji kwamba we are beeing tracked
 
Guys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.

Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.

Najua humu kuna watu professional wa kunisaidia kuweza kufikia lengo.
Address yake ukibonyeza hapa unafika Bishoo

Ni hivyo tuu ,mbarikiwe sana.
1735435279952.png
 
Hilo jina mpaka muda huu limesajiliwa na niliamua kuliita hivyo kwa sababu zangu binafsi…impression ya mtu kwa siku ya kwanza itamuathiri Ila kama huduma zetu zinatakuwa za kuaminika ataendelea kutuamini..labda nikwambie kitu mpaka sasa Mimi na maduka mawili yote nimeyaaita bishoo..moja ni @bishoo_store Unaweza kuliona IG na lingine ni @bishoo_fashion.
Kuhusu kufanya biashara kwangu nafanya na wengi Ila kuhusu classified ads site ndio nilitaka msaada..
Safi kijana, endelea kujitahidi utafanikiwa, lipia website yako kifurushi cha juu wakupe SSL Certificate Security keneddelly
 
Guys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.

Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.

Najua humu kuna watu professional wa kunisaidia kuweza kufikia lengo.
Address yake ukibonyeza hapa unafika Bishoo

Ni hivyo tuu ,mbarikiwe sana.
Nimejaribu kuutembelea naambiwa si salama nikaamua kusepa.
 
Back
Top Bottom