Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
heheheeeee!!! hapa panahitaji maelezo........yani mama matesha anavuta mtu masikio??
Haya masikio yanashikika? yaani kwa msaada wa mabapa, valuu na bia za baridi haya masikio yanashikika? :sick:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heheheeeee!!! hapa panahitaji maelezo........yani mama matesha anavuta mtu masikio??
Hoja kama hizi huwa zinajibiwa na makamanda wenzangu kama huyuSimpaka ujue kwamba unavutwa masikio we utaona ni mapenzi kumbe!!! sikosei hata wewe unavutwa ila huelewi
Wewe ngoja nikutendee haki kwa vitendo:heheheeeee!!! hapa panahitaji maelezo........yani mama matesha anavuta mtu masikio??
Unajua DC huyu Rose anasema khsu experience yake kuwa amegundua kuwa wanaume wenye sura mbaya wanakuwa na maneno/lugha nzuri kuliko wale wahandsome.mie kwa upande mwingine nimekubaliana nae kwa vile wale wazuri wanakuwa wanatafutwa sna na inawezakuwapa kiburi.
Ila mie naona mtu yoyte anapaswa kuwa na lugha nzuri awe mwanamke au mwanaume hapo mahusiano yatakuwa imara kwa vile hakuna asiyetaka kuheshimiwa na kuthaminiwa.
To be honest wewe (una sura mbaya) na una nyama ya ulimi tamu....Mchumba hebu niambie kwa faida yangu: Mimi nina sura mbaya au nzuri?
Nimemuomba MOD aibanie PM service kwako hahahahahahaHebu niPM nikupe siri yao moja......
Duh......hapa mzee u just crossed the line......Yaani unawatukana mama zetu namna hii...Ningekuwa karibu yako ningeku.......................................No way siombi msamaha kwa mtu yoyote. Wanawake wote ni wapuuzi katika dunia hii. Iwe alikuzaa, atakuzaa ama aliwazaa so long as ni mwanamke ni mpuuzi full stop.
Dunia bila wanawake ingekuwa na amani kubwa sana.
Kiongozi utakula ban la kuingilia maslahi ya kaka mkubwa. LOL! Unakaba mpaka penalti?Nimemuomba MOD aibanie PM service kwako hahahahahaha
umekosea hapo...........beauty is in the eyes of the beer holder!!To be honest wewe (una sura mbaya) na una nyama ya ulimi tamu....
Lakini kumbuka jambo hili: beauty is in the eyes of beholder!
Nimalizie kiongozi? (Ungemtafuna tigo yake kavukavu) Sijasema kitu hapo usininukuu vibaya:closed_2:Duh......hapa mzee u just crossed the line......Yaani unawatukana mama zetu namna hii...Ningekuwa karibu yako ningeku.......................................
mi nimejifunza kutoongea kabisa!! Mpaka msichana wa kazi anamuuliza wifey, mbona baba haongei? Amekasirika?
Nimegundua, kunyamaza kuna positive effect kwenye ndoa...kama mwenza ni vuvuzela ataacha au kupunguza, coz hau-entertain maongezi yasiyo na tija!! Wala mwenyewe huanzishi maongezi ambayo yeye atakuovateki kwa maneno meeeeengi!! Si mnajijuaga tena wadada?!!
Hii KLOROKWINI ni hatari sanahehehe greti thinka inabidi upunguze dozi ya salad (bange) kidogo!
Hatari kipi hapo: Klorokwini au bange?Hii KLOROKWINI ni hatari sana
Ni kweli kabisa haya mambo hayana formular me nina dada yangu anambuluza shemeji yangu hadi mimi ndo naona iabu ila yeye anasema wanume sio watu ukipata wa kumbuluza vuta masikio mpaka yaning'nie et hamtabiriki ati!!!!
Unajua DC huyu Rose anasema khsu experience yake kuwa amegundua kuwa wanaume wenye sura mbaya wanakuwa na maneno/lugha nzuri kuliko wale wahandsome.mie kwa upande mwingine nimekubaliana nae kwa vile wale wazuri wanakuwa wanatafutwa sna na inawezakuwapa kiburi.
Ila mie naona mtu yoyte anapaswa kuwa na lugha nzuri awe mwanamke au mwanaume hapo mahusiano yatakuwa imara kwa vile hakuna asiyetaka kuheshimiwa na kuthaminiwa.
Hatari kipi hapo: Klorokwini au bange?
Kuna wanaume wamefanyiwa kila kitu.wamepewa kila kitu.tena ukiwaona ni kama malaika kwa nje.Lakini wameishia kuwaumiza wenzi wao..Sema tu nyie hamtabiriki la muhimu ni kumwachia Mungu
kumbe mfalme unadhani nimelala nikaota:A S 114::bounce:
hivi shemeji, wanaume una uzoefu nao tayari au una uzoefu na Iribini tu? lol
Kweli Charity, lakini kwa nini watu wanajaribu kuelezea uzoefu wao kana kwamba una-apply kwa wote? Rose, FL1 na wengine naona wanaongelea mambo yao binafsi na feelings zao. Kitu wanachokosea ni kudhani kuwa hayo mambo yao yanaweza ku-apply kwa wengine. Kama ni kweli basi mimi simo!
:washing:hivi shemeji, wanaume una uzoefu nao tayari au una uzoefu na Iribini tu? lol
Hommie nisome kama ulivyoandika au katikati yake?hivi shemeji, wanaume una uzoefu nao tayari au una uzoefu na Iribini tu? lol