Guys tunachohitaji toka kwenu ni kidogo sana....................

Wanawake ni malaria ya kwenye figo, hawaponi mpaka ufe! Mi nilishaacha habari za kuwafatilia na kujitahidi kuwajua, nimemuachia mungu!


Mkuu hivi umejaribu kutumia ALU au umetumia klorokwini?
 

Hilo nakataa!!

Maanake mtapendwa na wanaume wanaojua kuongea tu? na siyo UPENDO?
 
hahahaaa! stuka!!!!
kajirambe leo............for this useful post!!
Unajua hii mutu inafikiri iko na akili kushinda mutu ingine....
akitaka kilo anakupa kwanza stori za buku kumikumi hadi zitimie...
 
Unajua hii mutu inafikiri iko na akili kushinda mutu ingine....
akitaka kilo anakupa kwanza stori za buku kumikumi hadi zitimie...

hahahah ..hapa nakanusha labda wafanya biashara maalumu.:nono:
 
Sasa wewe mwanaume jifanye unafuata ushauri wa Firstlady uone kama hutakaliwa kichwani. Ndio I agree at some level kuwa nyama ya ulimi muhimu kwa muda fulani tu lakini muda uliobaki ni kuonyesha uanaume a.k.a ubandidu wako (simaanishi umpige!!!) otherwise ukijifanya unajua kusikiliza kwa saaaaaana utajikuta unaporwa na mibandidu. Wanaume tumeumbwa tuwe na roho ngumu ndo maana hata sura zetu hazivutii,jaribu kuchekia ata wanyama wa kiume wanavyowatreat wakike ndo utajua tunatakiwa kuishi na wanawake kiaje.
 
Jumboplate nimeweka oda kwa Da Sophy akuhudumie bure wiki nzima!:A S tongue:
 


Leo sina mood ya kujibu ......ila mambo ndio kama hivyo magoma motomoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…