Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Kumbe wewe ni baba?? siku zote najua wewe ni mama sorry lakini:A S confused:
Kuna jamaa ananiambia ati umeishiwa vile vitu vya jukwaa letu style zote umesha maliza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe wewe ni baba?? siku zote najua wewe ni mama sorry lakini:A S confused:
Sorry, wanaume kama nyie na nani? Unawaongelea wanaume wote au nyie wepi?!!
kumbe mfalme unadhani nimelala nikaota:A S 114::bounce:
Sisi wanawake tunavutiwa na mambo madogo sana ambayo hayahitaji kuwaumiza vichwa.. si pesa wala good looking zenu :A S 39:unaweza ukawa na yote lakini amani hakuna ndani ya nyumba
Kauli ya mwanaume ni silaha tosha ya kujenga au kubomoa ndoa yake..Mwanamke anavutia na jambo dogo liitwalo Nyama ya ulimi...
Unakuta mwanaume kadanganywa na wenzio ndoa au mahusiano yako ili yawe imara inabidi yapelekwe kijeshi..uwe mkali kama simba lah hasha hayo mahusiano hayatadumu
Kama unahisi umemkosea mwenza wako muombe samahani kwa lugha tamu
Kama yeye amekukosea na aombe samahani vilevile ....
Lugha zenu zikiwa moja ndoa /mahusiano yenu yatakuwa kama paradise ndogo
Kauli njema ni silaha
Lugha za kibabe /masimango na majivuno...yanbomoa
sawa kina baba/kaka/ dada/ mashemeji nawakilisha............................................:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Hakuna lolote wala chochote. Wanawake ni viumbe wapuuzi sana. Hakuna kitu kigumu kama kumuelewa mwanamke. Kuwa na historia chafu ilianza zamani kwani Adamu alidanganywa na mwanamke katika ile bustani mpaka akafanya dhambi. Sometimes kuwaweka sawa viumbe hawa ni mangumi na mateke kwa sana tu na utaona mambo yananyooka na hasa wadada wa kikurya. Wanawake ni viumbe ambavyo mungu alituumbia kwa ajili ya kufyatulia watoto tu na wala si vinginevyo. Matatizo mengi ya dunia hii sababu ni mwanamke.
Hebu niPM nikupe siri yao moja......sijawahi kukielewa hiki kiumbe mwanaume kinataka nini, ukikiheshimu, kukijali na kukithamini, basi kinakudharau, ukiamua kuwa vuvuzela mambo ndo yanaenda sawa kidogo mmh maisha haya jamani tabu tupu
Nadhani hapo umewatoa wafuatao:Hakuna lolote wala chochote. Wanawake ni viumbe wapuuzi sana. Hakuna kitu kigumu kama kumuelewa mwanamke. Kuwa na historia chafu ilianza zamani kwani Adamu alidanganywa na mwanamke katika ile bustani mpaka akafanya dhambi. Sometimes kuwaweka sawa viumbe hawa ni mangumi na mateke kwa sana tu na utaona mambo yananyooka na hasa wadada wa kikurya. Wanawake ni viumbe ambavyo mungu alituumbia kwa ajili ya kufyatulia watoto tu na wala si vinginevyo. Matatizo mengi ya dunia hii sababu ni mwanamke.
Nadhani hapo umewatoa wafuatao:
Mama yangu, mke wangu na mabinti zangu. Otherwise utahitajika kuwaomba radhi haraka na mapema iwezekanavyo.
BTW hivi unaweza kuwaita mama zetu hawa wapuuzi? Mama yako aliyekuzaa ni mpuuzi? Kwa hapa niko against na wewe. Kwangu mimi wanawake ni watu muhimu sana. Nimefikia hapa nilipo kwa sababu ya mwanamke, naishi maisha ya raha kwa sababu ya wanawake, najisikia amani kwa sababu ya wanawake, najisikia furaha kwa sababu yao, nafaririjika kwa sababu ya wanawake. To me, without women, this world is a second hell.
Now apologise to all women before I change my mind. Am counting
9.........8.........7...........
No way siombi msamaha kwa mtu yoyote. Wanawake wote ni wapuuzi katika dunia hii. Iwe alikuzaa, atakuzaa ama aliwazaa so long as ni mwanamke ni mpuuzi full stop.
Dunia bila wanawake ingekuwa na amani kubwa sana.