Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Tuendelee kuchukua hatua wakuu. Inaweza kuwa ngumu sana kukimbia huu mtindo wa mlo na maisha ila inawezekana kubalance.
TUKIWEZA KUBALANCE HIZI MAMBO:
Soda drinks. Milo, cocoa, coffee
Energy drinks. Carbonated milk
Carbonated drinks. Kiti moto
Spirits. Nyama choma
Pombe. Mlo wa kukaanga
Gongo. Kuku wa kisasa
Beer. Biscuits, cookies
Mwanga wa simu. Ngono kavu kavu
Kukaa muda mrefu. Kazi za vumbi
Sauti kali masikioni. Sigara, shisha.
Vidonge maumivu.
BASI TUTAWEZA KUOKOA HIZI MAMBO:
Mifupa, mfumo wa ufahamu, mfumo wa akili, moyo, mishipa, mfumo wa mkojo, mfumo wa uchujaji mwilini, mfumo wa damu, mfumo wa kuona , mfumo wa kusikia, mfumo wa kubalance sukari mwilini,
Kama uko vizuri na hauna muda wa kwenda jogging, nunua hata kabaiskeli ka mazoezi (kuanzia tsh 350k+), kama uko under budget tenga muda wako kufanya jogging.
Tusisahau kula vyakula kwa wingi ambavyo ni natural detox (vinavyosaidia kuondoa sumu mwilini) kwenye miili yetu kama vile spinach, avocado, sukuma wiki, green tea, Maji kwa wingi, limao, vitunguu swaumu, tangawizi,
ILA ALL IN ALL TUJENGE UTAMADUNI WA KUFANYA CHECK UP