Uchaguzi 2020 Gwajima aanza kupita kwa Waislam kuwahadaa

Uchaguzi 2020 Gwajima aanza kupita kwa Waislam kuwahadaa

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Baada ya kuahidi kuwa akipata nafasi ataigeuza misikiti kuwa Sunday school mpaka hatimae akateuliwa ili atimilize jambo lake. Ameanza kupita kwa Waislam kuwahadaa ili wasimkate kwe kura.

Aidha Gwajima amekua akionekana akitaka kutumia mahusiano yake na waislam ili ajipatie kura wakati aliahidi anataka kufuta misikiti yao. Hapa chini ni video wakati akipita pita katika nyanja zake. Chonde wana kawe huyu mtu anataka kutugawanya hatufai kabisa.

Kwa mara ya kwanza kwenye Maisha yangu nitampa kura ya Ubunge Mgombea wa Chadema jimbo langu la Kawe Bi Halima Mdee hata kama kura hazitamtosha

Siwezi chagua tapeli, mdini, mkabila na mcheza picha za ngono
 
Hii nguvu inayotumika kupambana na Gwajima seems kama jamaa wana Cahdema tunamuogopa vile...Nilisikia kampeni za Mdee, ni kama anafanya kampeni za kujihami zaidi badala ya kufanya mashambulizi tuliyoyazoea.

Mimi ni Mwana Chadema ila naona staili yetu kutetea Kawe ni kama tunajihami zaidi..Na hata Mgombea wetu nibkama kapaniki fulani hivi
 
Kwa mara ya kwanza kwny Maisha yangu nitampa kura ya Ubunge Mgombea wa Chadema jimbo langu la Kawe Bi Halima Mdee hata kama kura hazitamtosha

Siwezi chagua tapeli, mdini, mkabila na mcheza picha za ngono
Mkuu kwa Mara ya kwanza toka uzaliwe Leo umeandika jambo la maana sana ukiachana na CCM akili inakua poa sana.
 
Kuna watu wameumbwa na nyuso zao hazina aibu na roho zao ngumu kama chuma cha pua. kweli leo anarudi kwa waislam bila aibu? bila hata ya kusema samahani sana kwa yale niliyokosea?
 
Kwa mara ya kwanza kwny Maisha yangu nitampa kura ya Ubunge Mgombea wa Chadema jimbo langu la Kawe Bi Halima Mdee hata kama kura hazitamtosha

Siwezi chagua tapeli, mdini, mkabila na mcheza picha za ngono
Well said mkuu hata mm ni mkazi wa kawe. Naema kwa sauti kubwa hapana kwa gwajima hapana. Huyu ni tapeli akiwatapeli watu kwa kutumia dini.

Mkabila akiamini kwenye usukuma wake. Ni mdini. Ili kulinda uislamu wangu na watoto wangu sitokubali madrasa wanazosoma wanangu zine SUNDAY SCHOOLS.

HAPANA
 
Kwa mara ya kwanza kwny Maisha yangu nitampa kura ya Ubunge Mgombea wa Chadema jimbo langu la Kawe Bi Halima Mdee hata kama kura hazitamtosha

Siwezi chagua tapeli, mdini, mkabila na mcheza picha za ngono
Hivi kumbe ndani ya ccm huna ushawishi wowote ! uliachaje Floyd akapitishwa na kamati kuu ?
 
Usiishie kupiga kura tu bali piga kampeni za nguvu ili uwafunue macho Waislamu wenzio kutomchagua huyo tapeli. Kama hakutakuwa na wizi haendi kokote huyo mkoromije.

Back
Top Bottom