Uchaguzi 2020 Gwajima aanza kupita kwa Waislam kuwahadaa

Uchaguzi 2020 Gwajima aanza kupita kwa Waislam kuwahadaa

Kaambiwa na sheikh hapo kuwa rangi ya shati lake si rasmi na kwamba anatakiwa avae jekundu......

Eti mwenyewe anacheka asijue kuwa hilo ni dongo kuwa chama (rangi) anayoombea ubunge masheikh hao hawakitaki bali rangi nyekundu (CUF/CDM).
 
Wana Kawe tuamke
 
Usiishie kupiga kura tu bali piga kampeni za nguvu ili uwafunue macho Waislamu wenzio kutomchagua huyo tapeli. Kama hakutakuwa na wizi haendi kokote huyo mkoromije.
Kwa Waislamu watakaomchagua au KUMFANYIA KAMPENI GWAJIMA KWA MUJIBU WA KAULI ZAKE WATAKUWA WAMEJIHALALISHIA RASMI MISIKITI KUGEUZWA SUNDAY SCHOOL NA KWA WAKATOLIKI WATAKAOMCHAGUA AU KUMFANYIA KAMPENI WATAKUWA WAMERUHUSU AWATUSI MAPADRE, MAASKOFU KATOLIKI AMA KARDINALI HATA PAPA PASIPO KUHOJIWA KOKOTE MAANA ATAKUWA NA KINGA.
 
Kaambiwa na sheikh hapo kuwa rangi ya shati lake si rasmi na kwamba anatakiwa avae jekundu......

Eti mwenyewe anacheka asijue kuwa hilo ni dongo kuwa chama (rangi) anayoombea ubunge masheikh hao hawakitaki bali rangi nyekundu (CUF/CDM).
Huyo ni msemaji wa simba, punguza uwaki
 
Title ya uzi ni Grammy award winning😂😂
Neno "hadaa" limenikumbusha mpemba mmoja tulisoma nae alitupigia story moja hivi.

Baasi mwanadada mmoja alikua anafanya mambo ya kwichi kwichi na jamaa mmoja hivi.

Aaah jamaa si baradhuli aisee. Akaingiza kusiko. Baasi mdada akasema unanihadaa lakini endelea tu ,,😂😂😂😂😂.

Sasa sijui kwa nini mwanadada kaona kabisa "anahadaiwa" lkn katoa ruksa.

Kwako mwalimu kashasha ,👉
 
Baada ya kuahidi kuwa akipata nafasi ataigeuza misikiti kuwa Sunday school mpaka hatimae akateuliwa ili atimilize jambo lake. Ameanza kupita kwa Waislam kuwahadaa ili wasimkate kwe kura.

Aidha Gwajima amekua akionekana akitaka kutumia mahusiano yake na waislam ili ajipatie kura wakati aliahidi anataka kufuta misikiti yao. Hapa chini ni video wakati akipita pita katika nyanja zake. Chonde wana kawe huyu mtu anataka kutugawanya hatufai kabisa.

View attachment 1555347
Bora nmpgie kura mdee Ila cio uyo Gwajima limemshnda kanisa ataweza siasa
 
Gwajima ni mkabila. Alianzisha mkakati wa kuanzisha "Sukuma Empire" kwa kuhakikisha John haondoki madarakani
 
Baada ya kuahidi kuwa akipata nafasi ataigeuza misikiti kuwa Sunday school mpaka hatimae akateuliwa ili atimilize jambo lake. Ameanza kupita kwa Waislam kuwahadaa ili wasimkate kwe kura.

Aidha Gwajima amekua akionekana akitaka kutumia mahusiano yake na waislam ili ajipatie kura wakati aliahidi anataka kufuta misikiti yao. Hapa chini ni video wakati akipita pita katika nyanja zake. Chonde wana kawe huyu mtu anataka kutugawanya hatufai kabisa.

View attachment 1555347
Sasa cc wanakawe tukubali kuongozwa na Muhuni. Aliyejitangaza wazi kwamba ni Muhuni Mdee anadharau sana na ametidhalilisha Familia ya wana kawe kwamba wanampigia kura Muhuni. Au kuna kaukweli kwamba wana mahusiano na Esta Bulaya
 
Kwa mara ya kwanza kwny Maisha yangu nitampa kura ya Ubunge Mgombea wa Chadema jimbo langu la Kawe Bi Halima Mdee hata kama kura hazitamtosha

Siwezi chagua tapeli, mdini, mkabila na mcheza picha za ngono
Ukiona mwana Ccm kindakindaki anasema hivi wewe mwananchi wa kawaida usemeje!!
 
Wana CCM na wafuasi wa Gwanjima. Watapigia kura. Na wengine hasa majeshi
 
Kamwambia ukweli siasa ni uongo,je atawezahudumia bwana wawili,moja anataka ukweli,mwingine uongo ili ufanikiwe
 
Kuna watu wameumbwa na nyuso zao hazina aibu na roho zao ngumu kama chuma cha pua. kweli leo anarudi kwa waislam bila aibu? bila hata ya kusema samahani sana kwa yale niliyokosea?
Muhimu hela ya ubwabwa tu
 
Gwajima kawakamata pambaya sana.

Hizo video zako siyo wakati wake. Mbona Viongozi wako walitaka Makanisa yafungwe kipindi cha Corona
 
GwajiBoy! Niliwaambia mm, safari ndio hiyo kwanza imeanza, Shati amekula kitu yanga pembeni akiwa yupo Manara, mashabiki wa simba na yanga kwa mpigo. The dude is very strategic.
 
Kwa mara ya kwanza kwny Maisha yangu nitampa kura ya Ubunge Mgombea wa Chadema jimbo langu la Kawe Bi Halima Mdee hata kama kura hazitamtosha

Siwezi chagua tapeli, mdini, mkabila na mcheza picha za ngono

Je Jiwe aliyempendekeza Huyo tapeli, mdini, mkabila na mcheza picha za ngono utampa Kura ?
 
Baada ya kuahidi kuwa akipata nafasi ataigeuza misikiti kuwa Sunday school mpaka hatimae akateuliwa ili atimilize jambo lake. Ameanza kupita kwa Waislam kuwahadaa ili wasimkate kwe kura.

Aidha Gwajima amekua akionekana akitaka kutumia mahusiano yake na waislam ili ajipatie kura wakati aliahidi anataka kufuta misikiti yao. Hapa chini ni video wakati akipita pita katika nyanja zake. Chonde wana kawe huyu mtu anataka kutugawanya hatufai kabisa.

View attachment 1555347

Wana Kawe wanaweza wakawa hawamtaki Gwajima awe Mbunge ila kwa ninachojua tu ni kwamba afe Mmaasai au Mmang'ati atatangazwa Kinara.
 
Back
Top Bottom