Uchaguzi 2020 Gwajima aanza kupita kwa Waislam kuwahadaa

Uchaguzi 2020 Gwajima aanza kupita kwa Waislam kuwahadaa

Baada ya kuahidi kuwa akipata nafasi ataigeuza misikiti kuwa Sunday school mpaka hatimae akateuliwa ili atimilize jambo lake. Ameanza kupita kwa Waislam kuwahadaa ili wasimkate kwe kura.

Aidha Gwajima amekua akionekana akitaka kutumia mahusiano yake na waislam ili ajipatie kura wakati aliahidi anataka kufuta misikiti yao. Hapa chini ni video wakati akipita pita katika nyanja zake. Chonde wana kawe huyu mtu anataka kutugawanya hatufai kabisa.

View attachment 1555347
Gwaji boy mjanja mjanja sana
 
alisema uaskofu ni zaidi ya ubunge awaachie ubunge watu wengine.
 
Wana Kawe wanaweza wakawa hawamtaki Gwajima awe Mbunge ila kwa ninachojua tu ni kwamba afe Mmaasai au Mmang'ati atatangazwa Kinara.

Na sidhani kama Halima na watu wake wameshajitayarisha kwa hiyo movie
 
Gwajima ni mkabila. Alianzisha mkakati wa kuanzisha "Sukuma Empire" kwa kuhakikisha John haondoki madarakani
Na ndio maana jina lake likapitishwa na chama kama mgombea.
Ni wakufyekelea mbali
 
Wanamchora tuu hapo, hawampatii kura hata moja, believe me..
 
Huu ni mwanzo tuu,hao hao waliopo hapo msibani wanamchekelea tuu
Money......Money........Money........
 
Back
Top Bottom