Uchaguzi 2020 Gwajima aanza kupita kwa Waislam kuwahadaa

Gwaji boy mjanja mjanja sana
 
alisema uaskofu ni zaidi ya ubunge awaachie ubunge watu wengine.
 
Wana Kawe wanaweza wakawa hawamtaki Gwajima awe Mbunge ila kwa ninachojua tu ni kwamba afe Mmaasai au Mmang'ati atatangazwa Kinara.

Na sidhani kama Halima na watu wake wameshajitayarisha kwa hiyo movie
 
Gwajima ni mkabila. Alianzisha mkakati wa kuanzisha "Sukuma Empire" kwa kuhakikisha John haondoki madarakani
Na ndio maana jina lake likapitishwa na chama kama mgombea.
Ni wakufyekelea mbali
 
Wanamchora tuu hapo, hawampatii kura hata moja, believe me..
 
Huu ni mwanzo tuu,hao hao waliopo hapo msibani wanamchekelea tuu
Money......Money........Money........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…