Hivi unaona akili za GWAJIBOY zipo sawa kweli?Katika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza.
Namnukuu “Rais Magufuli umenishangaza kwenye mambo uliyofanya Kawe hali ukijua ilikuwa ni jimbo la chama cha upinzani.
Pamoja na kwamba ilikuwa ngumu kuwaletea maendeleo watu wa Kawe kutokana na vizuizi ulivyowekewa na Mbunge aliyekuwepo, ulitafuta njia mbadala ya kuwafikishia maendeleo”
Hivi hilo linawezekana? Yaani Serikali iamue kufanya jambo fulani halafu Mbunge aweke kizuizi?
Kwani pale JPM anapotaka bajeti yake ipitishwe bungeni ili ikafanye kazi majimboni alafu Mdee anakataa kuipitisha huoni hapo ni kizuizi?Katika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza...
Hivi hilo linawezekana? Yaani Serikali iamue kufanya jambo fulani halafu Mbunge aweke kizuizi?
Hapo kuna hoja au ujingaJibu hoja alioitoa sio matusi.
Utaishia kutukana tu.Hapo kuna hoja au ujinga
One of those potshotsKatika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza.
Namnukuu “Rais Magufuli umenishangaza kwenye mambo uliyofanya Kawe hali ukijua ilikuwa ni jimbo la chama cha upinzani.
Pamoja na kwamba ilikuwa ngumu kuwaletea maendeleo watu wa Kawe kutokana na vizuizi ulivyowekewa na Mbunge aliyekuwepo, ulitafuta njia mbadala ya kuwafikishia maendeleo”
Hivi hilo linawezekana? Yaani Serikali iamue kufanya jambo fulani halafu Mbunge aweke kizuizi?
..Ndio anazidi kujiharibia.
..Anajiita Askofu halafu anasema uongo wa waziwazi.
Kwani pale JPm anapotaka bajeti yake ipitishwe bungeni ili ikafanye kazi majimboni alafu mdee anakataa kuipitisha huoni hapo ni kizuizi?
Huyu naye ana washirikaHivi unaona akili za GWAJIBOY zipo sawa kweli?
Gwajima anajua uzinzi tu. Hamna kitu mule. Ngoja 28th Oct tutamnyooshaKatika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza..
Katika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza...
Namnukuu “Rais Magufuli umenishangaza kwenye mambo uliyofanya Kawe hali ukijua ilikuwa ni jimbo la chama cha upinzani
Sheria ipi inakataza kuwa jimbo la upinzani halipaswi kupewa maendeleo?Hivi Gwajima ni doctor(PhD) au huwa anajiita tu ni doctor?
Hilo ni jambo lililokuwa bayana kabisa, kwa kuwa ni sera ya Mheshimiwa kutokupeleka maendeleo ktk majimbo yenye wabunge wa upinzani.Katika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza..