Uchaguzi 2020 Gwajima adai Mdee alimuwekea vizuizi Magufuli kupeleka maendeleo Kawe. Je, inawezekana kweli?

Uchaguzi 2020 Gwajima adai Mdee alimuwekea vizuizi Magufuli kupeleka maendeleo Kawe. Je, inawezekana kweli?

Kwenye mkutano wenyewe Gwajima alikuwa ana soma notes alizo nakili kutokana kitabu cha Halima cha utekelezaji. Gwajima hakuna kitu pale.
 
Katika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza...
Hoja za kijinga kabisa, yaani hapo fedha zinawekwa kwenye a/c ya mbunge au halmashauri?
 
Mwanzoni nilikua nashangaa kwanini baadhi ya watu humu hushangilia misiba au matatizo ya maccm au kundi flani la watu, nikaja gundua kuwa uonevu huzaa chuki na visasi kwenye mioyo ya watu. Unamcheka anayepigwa na polisi leo, kesho usitegemee akaja kulia kwenye msiba wako...

Sahihi kabisa!
 
SIJAWAHI KUONA MCHUNGAJI MWONGO KA GWAJIMA. MTUNGA MANENO YA KINAFIKI HATARI KABISA SHETANI FOLLOWER HUYU
 
Zee lilijiingizia amfifiro kupitia mlango wa nyuma sasa limechanganyikiwa akili.

Gwajima wafuasi wake wote vilaza, kupewa kugombea inaonyesha wazi akili za jiwe na wenzake, genge la washenzi tu.
 
Yote tisa lakini kumi ni Gwajima anayefaa kuwa mwakilishi wa jimbo la kawe.

Basing on the sample size that we have ni Gwajima pekee anayeweza kutufaa wana Kawe.

Gwajima hazuiliki.
 
Kwema Wakuu,

Kuna Video Clip inazunguka kwenye mitandao ikimuonyesha Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe Bw. Josephat Gwajima akipita kwenye eneo lenye mafuriko mitaa ya Basihaya huku akimlaumu Mheshimiwa Halima Mdee, Mbunge anaemaliza muda wake kua hajafanya lolote kuwasaidia wananchi wa eneo hilo.

Kuna msemo unasema "Duniani ogopa Mungu na Teknolojia", hii hapa ni Speech ya Halima Mdee akizungumzia kuhusu kadhia hiyo.

Gwajima bhana.amri ya Mungu inasema usimshuhudie jiraniyako uongo. Yesu hachukulii poa uongo kama huo. Hivi JPM anaweza zuiliwa na nani nchi hii? Akitataka waliosambaza mbolea ya ruzuku wadhurumiwe bil50 au wafanyabiashara waporwe korosho anaamuru tu. Watu wanakuona umeanguka kiroho.
 
Kuna uwezekano, GWAJIMA ana video clips za ngono za watu wote wanaoinua mishipa kumtetea na kumuombe kura hadharani. Wanajuana hawa, wanahifadhiana.
 
Katika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza...
huyu mgombea sijisahau akadhani kuwa wananchi wa Kawe ni mabumunda kama waumini wake. huu utumbi ni wa kwwenda kudanganya washamba wenzake
 
Katika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza...
Kwamba alitaka kumnunua akapigwa za Uso ama?
 
Kama anauwezo wa kumzuiya mh.Raisi basi yeye Gwajima akalale maana.

Ila amemuaibisha mkuu wa nchi na mwenyekiti wake
 
Gwajima hana uelewa wowote. Ni mbumbu wa mambo. Kaona waumini wanaanza kumshtukia sasa anahamia kwenye siasa. Ni tapeli typically!
 
SIJAWAHI KUONA MCHUNGAJI MWONGO KA GWAJIMA. MTUNGA MANENO YA KINAFIKI HATARI KABISA SHETANI FOLLOWER HUYU
Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom