Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Nileteeeni GwajimaaaaaaZee lilijiingizia amfifiro kupitia mlango wa nyuma sasa limechanganyikiwa akili.
Gwajima wafuasi wake wote vilaza, kupewa kugombea inaonyesha wazi akili za jiwe na wenzake, genge la washenzi tu.
Nileteeeni GwajimaaaaaaYote tisa lakini kumi ni Gwajima anayefaa kuwa mwakilishi wa jimbo la kawe.
Basing on the sample size that we have ni Gwajima pekee anayeweza kutufaa wana Kawe.
Gwajima hazuiliki.
Tuwekee sababu za Mede kukataa tafadhali maana hawezi kukataa bila sababu.Kwani pale JPm anapotaka bajeti yake ipitishwe bungeni ili ikafanye kazi majimboni alafu Mdee anakataa kuipitisha huoni hapo ni kizuizi?
Na wewe kwa akili yako unaaamini kabisa ni kweliKatika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza..
Kwani pale JPm anapotaka bajeti yake ipitishwe bungeni ili ikafanye kazi majimboni alafu Mdee anakataa kuipitisha huoni hapo ni kizuizi?
Hiyo nayo hoja viroja huko shule mlienda somea ujingaJibu hoja alioitoa sio matusi.
Yaan ni aibu tupu kuwa MTANZANIA maana unafanywa zwazwa hata km utaki na hurusiw kujibuKatika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza...
Mgombea uraisi na mkiti wa CCM amekuwa akiyasema hayo hadharani. Watanzania wakichagua mbunge, diwani asiye CCM hawapalekei maendeleo.Namnukuu “Rais Magufuli umenishangaza kwenye mambo uliyofanya Kawe hali ukijua ilikuwa ni jimbo la chama cha upinzani
Sheria ipi inakataza kuwa jimbo la upinzani halipaswi kupewa maendeleo?Hivi Gwajima ni doctor(PhD) au huwa anajiita tu ni doctor?
Tupe evidence mzee. Unajua ukiongea kupinga bajeti husemi kipengele gani na sababu ni nini. Wapinzani hua hawapingi maendeleo ila wanajaribu kuangalia mbele zaidi kwa maendeleo ya watanzania woteKwani pale JPm anapotaka bajeti yake ipitishwe bungeni ili ikafanye kazi majimboni alafu Mdee anakataa kuipitisha huoni hapo ni kizuizi?
Katika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza...
Hizo ndo zinaitwa cheap politics. Rais azuiwe na mbunge kuleta maendeleo. Kweli?Katika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza...
ONDOA CHEO CHA ASKOFU , SASA HIVI HAKITUMII TENAHivi unaona akili za GWAJIBOY zipo sawa kweli?
pumba kabisaKatika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza...
Mkuu JOKAKUU HESHIMA YAKO.
Alafu ndo mtu pekee ambaye CHADEMA walimtegemea katika USHENGA uleee ha ha ha ha TANZANIA UBARIKIWE NA USIVURUGWE.