naa_onyinye
Member
- Jan 17, 2017
- 55
- 7
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi sio mkristu ila huyu mchungaji angalau ni bora kuliko wale wakiroma ambao kipindi cha kikwete ikitokea jambo dogo tu lazma waandae waraka mzima wa kumkosoa ila toka "mwenzao" aingie naona wao kazi kumsifia tu na wala hutowaona wakikemea lolote hta kma limekuwa habari kubwa huku mtaani.Huyu jamaa ni mnafiq tena anawawaibiatu waumini, sijawahi ona mchungaji wa sampuli hii kabisa! Ila akae akijua atamalizia kubaya!.
Upuuzi Diamond akiwa maarufu duniani inakusaidia nini wewe na familia yako.Kwa hiyo Gwajima na Diamond nani maarufu, Gwajima umaarufu wake upo mijini tu wakati Diamond kila kona ya Tanzania na Afrika kwa ujumla.!
Mungu yupi? na Kweli ipi?Kama ni yeye kweli kaandika hivyo,Mungu awasaidie waumini wake kuijua kweli itawaweka huru
Huo ni wivu wenu wa maendeleo tu
hance upo raisi wa wambea ? wapi warumi
Huyu jamaa ni mnafiq tena anawawaibiatu waumini, sijawahi ona mchungaji wa sampuli hii kabisa! Ila akae akijua atamalizia kubaya!.
Mimi ni mpagani ila kesho fastaa nawahi church!Walete babaaa, waleteee...
Yani show za gwajima ni za kipekee.
Kesho mapemaaaa, siti za mbele mbele