Gwajima amcharukia Diamond

Gwajima amcharukia Diamond

Mwenye link ya audio ya kufuatilia ibada kesho please naomba niwekee hapa!
 
Ngoja akachakaze kijana........Almasi kuwa maji.......cant wait to see that....lazma niwahi kanisani kwa gwajima.....hehehehehehehehe tena mbeleeeeeeeee
 
Kama ni yeye kweli kaandika hivyo,Mungu awasaidie waumini wake kuijua kweli itawaweka huru
Mchungaji anasoma saa ngabi biblia na kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu. Mbona amezama kwenye mambo ya watu (kidunia - ungenyaji, uzushi, ushambenga, n.k.) badala ya mambo ya Mungu?
Ya Rabilallamin, mnusuru huyu mchungaji ili ajielekeze kwenye kunusuru watu na maovu yao yasiyokupendeza! Nikubalie hii dua yangu ee mwingi wa rehema ili angalau katika kubadilika kwake, maadui wa nchi wapungue. Amin!
 
Huyu naye anatumia kanisa vibaya. Visasi tu, Yale mafunzo yanayosema samehe anayafundishaje kanisani kwake? Du hii kali


WATUMISHI WA AINA HII NI HATARI , KILA KUKICHA NI MIPASHO ,VITISHO, VISASI NA MALUMBANO YASIYO NA MBELE WALA NYUMA ,MUHIMU NI KUENDELEA KUHUBIRI NENO KAMA NI MTUMISHI WA KWELI
 
Ivan kupanda madhabuhini kesho kumdai mwanaye Nillan.
 
Mbona unamshangilia bashite na amevamia kituo cha mawingu...nani amerogwa hapo kama sio ww[/QUO

Huyo mchungaji wenu ndio kawaroga nyinyi anajua kupelekesha akili zenu... Haiwezikani mtu mmoja tu awe anasumbua kwa kueneza habari ambazo hata hazina tija kwa taifa... Tunachotaka ni kazi... Nchi hii tukiendekeza kufatilia haya tutazidi kuwa nyuma Sana..
 
WATUMISHI WA AINA HII NI HATARI , KILA KUKICHA NI MIPASHO ,VITISHO, VISASI NA MALUMBANO YASIYO NA MBELE WALA NYUMA ,MUHIMU NI KUENDELEA KUHUBIRI NENO KAMA NI MTUMISHI WA KWELI
Yasiyo na mbele wala nyuma?,kwa hiyo hata wewe huna mbele wala nyuma? Maana umekomaa na Uzi usio na mbele wala nyuma. Gwajima kachokozwa acha afanye yake. Mtumishi wa Mungu huwezi kumwingiza kwenye wimbo kihuni huni tu kwa manufaa yako na bashite. Walaaniwe wote waluopanga huu mpango ambao ume fail asubuhi na mapema
 
Uchungaji wa Gwajima ni wa mashaka...Yaani unatenga muda kwa ajili ya Diamond?!

Halafu hakuna sehemu Diamond amemsema vibaya Gwajima,yeye ameimba tu kwamba nasikia kuna ugamvi wa Gwajima na Makonda basiii,hajaendelea zaidi ya hapo
 
Back
Top Bottom