Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Tumecheka woteHaaaaaa mzee wa Double manifestation... nimecheka jamani Tanzania kila leo kunaibuka jipya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumecheka woteHaaaaaa mzee wa Double manifestation... nimecheka jamani Tanzania kila leo kunaibuka jipya
Siri gani Diamond anayo. Huyo Gwajima anatumia kanisa vibaya visasi tu
Diamond is a king
Matusi ni ishara ya kuishiwa hoja kama yule mchungajia alieacha kuhubiri injili kanisani kwake anahubiri bashite na [emoji184]Anakufumua malinda huyo domo mlimchokoza wenyewe tulieni
Subiri kesho utajua...
Unamoyo sana...hivi kwenye haya mashairi ya huu wimbo mpya wa chibu nionyesheni neno lililomtaja huyo gwajima[emoji116]
Nasema walau nina kidogo na mashabiki wananiambia mbona hausemi chochote
Ah, si uko nao siku zote ama ulezi unafanya uogope
Ah na media pande zote wanalalama kiongozi atoke
Ah nchi inaingia matope niende wapi na mimi mtoto wa wote,
Yaani lawama, acha nikae kimya, niongee, kimya (ooh ninyamaze mimi)
Nikae kimya nisemee (kimya) mama kaniambia (acha nikae kimya)
Ooh nifunge mdomo, mimi bado mdogo nisiseme (kimya)
Verse
Ni mengi majaribu najaribu kuepuka yasije nicost
Japo mengine swadakta mengine hayana maana
Rafiki kipenzi wa karibu hata nyimbo yake sikuweza ipost
Ila alipokamatwa iliniumiza sana mitandaoni kila kona
Uongo na ukweli unashonwa kila nyumba inanong’ona, ahh, ooh Tanzania
Mara kibembe Dodoma wabunge pinzani wamegoma juzi akapotea na Roma
Ohh Tanzania
Najaribu kunyamaza Makame hataki ohh ananiambia walau nina kidogo
Nyumbani nafungwa geti niende kwa Mangi kununua super gate
Napewa za chini ya kapeti kuna redio imevamiliwa eti
Ehh, napita kwenye magazeti nakuta lundo la watu wameketi
Ehh badala ya kutafuta senti wanabishana tu mambo ya vyeti
Acha nikae kimya (nisiongee ) nikae kimya (ninyamaze kabisa)
Nikae kimya (ulimi koma) kimya (usije kuniponza) acha nikae kimya
(nifunge bakuli langu) nikae kimya (nikojoe nikalale) kimya
Mimi bado mdogo sana mama kanimbia
Bridge
Najiuliza wapi (wapi) najiuliza wapiii, tunakwenda wapi
Wapi, kila siku maneno, wapii, hatuwajengi jamaa
Mimi na wewe ni taifa moja, Kambarage baba mmoja
Sasa tofauti za nini tushikamane tukaijenge Tanzania
Gwajima na diamond nani maarufu zaidi?Mbona hajamtaja kwa baya, Gwajima anahangaika tu....Anataka apatie umaarufu kwa Diamond.
Mbona unamshangilia bashite na amevamia kituo cha mawingu...nani amerogwa hapo kama sio wwAnazingua sana huyu mchungaji na hapo waumini wake kesho watashangilia kabisa duh!i see tumerogwa mahali.
Mwambie mchungaji wako ahubiri injili yesu hakufundisha kulipiza kisasi sayeye anawafundisha nini nyie kondoo wake?View attachment 492823
Salamaaa
Sina mengi zaidi ya kumwambia diamond kesho anunue ndimu pamoja na kinywaji kikali kwani mchungaji keshasema kesho anakuchambua nami ntakwenda kumsikiliza kwamaan umetapika sana kwenye wimbo wako huu mpya.
Kwakuwa uu mnafiki sana basi dawa yako imepatikana.
Sina mengi zaidi ya kukupa pole kwa huu mlango ulioingilia.
Hebu nenda kwenye ukurasa wake rasmi wa FacebookWatanzania wengi ni wajinga sana, wewe ni mmoja wapo, hauna hata viulizo kuwa hayo ni maandishi ya kupachika hapo ktk picha??
Ndio utajua kuwa akinya kuku kanya ila akinya bata kahalishaMatusi ni ishara ya kuishiwa hoja kama yule mchungajia alieacha kuhubiri injili kanisani kwake anahubiri bashite na [emoji184]
matusi hayo wengine tupo mjini tumezaliwa mjini 😀😀Dah wasukuma wamekuja mjini
Hahaaaaa kama unatamani kisemwa mchokoze huyu mzeeeHaaaaaa mzee wa Double manifestation... nimecheka jamani Tanzania kila leo kunaibuka jipya
Wizara ya Sheria na wizara ya mambo ya ndani ambayo ndio wasimamizi wa Jeshi la POLICE na MAHAKAMA hawafanyi kazi na mitandao ya KijamiiClouds FMmmmmmmmmmmm!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , ila watanzania ni wachonganishi asee.... iwe kwenye ndoa, majiraniiii, yan ni full uchonganishi asee.Hahaha...nchi Ina vituko hii....ngoja ninunue hisa voda mgao nadhani utakuwa mkubwa tu.....!kwani kuna mtu kanunua ugomvi nae?km kamtaja bora akaombe radhi tu yaishe maana.......