Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipenzi cha watu au kipenzi chako...Sema mchungaji wa mateja na asithubutu kumgusa kipenzi cha watu diamond
Subiri kesho utajua...Huyu ni mchungaji wa kiroho kweli!?
Hakuna malalamiko official ya kuifanya Serikali kwenda NECTA pia sehemu za kupeleka malalamiko ni Police na mahakamani si Facebook na InstagramSio serikali iende nacte iangalia jina la bashite
Nikiwepo piaKipenzi cha watu au kipenzi chako...
Na. Alivyokuwa muongeaji huyo gwajma. Wambea tunasubiri tusioyajua.watutolee siriDiamond ameingiza mguu kwenye mashine ya kusaga na kukoboa.
Inamaana Diamond ni maarufu kuliko Gwajima?Mbona hajamtaja kwa baya, Gwajima anahangaika tu....Anataka apatie umaarufu kwa Diamond.
Clouds FMmmmmmmmmmmm!Ni kituo gani cha POLICE kimepokea taarifa juu ya uvamizi wa Office uliofanywa na kiongozi? au ni Mahakama gani kuna shitaka la uvamizi wa Office uliofanywa na kiongozi?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hayo maneno juu ya picha 'yameongezwa' sio maneno ya original tweet!
Kesho lazima nikasali kwa Gwajima ngoja niandae na sadaka ya kutosha
Wape wape Mzee vidonge vyao wakimeza au wakitema ni shauri yaoView attachment 492823
Salamaaa
Sina mengi zaidi ya kumwambia diamond kesho anunue ndimu pamoja na kinywaji kikali kwani mchungaji keshasema kesho anakuchambua nami ntakwenda kumsikiliza kwamaan umetapika sana kwenye wimbo wako huu mpya.
Kwakuwa uu mnafiki sana basi dawa yako imepatikana.
Sina mengi zaidi ya kukupa pole kwa huu mlango ulioingilia.
hahahaa mchungaji anajua wabongo sisi ni member wa shilawadu hana namna inabidi ashushe ubuyu ila sio mahala pake anamissuse PULPITKondoo leo wanataka kulishwa mbege wamechoka majani kila siku