Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Sio kujisikia hovyo, nia ni kuharibu brand.Huyo Gwajima wenu hajawahi kuishi uswahilini na hawajui watoto wa uswazi!Gwajima atampakazia nini Daimond mpaka ajisikie ovyo? Watoto wa uswazi wamefanya mengi ya ovyo bila mshipa wa haya utakachokuja kusema later in life hakina impact kwao as long my yao yamechange kiutamuutamu na moja ya good past time yao nikujikumbusha ujinga ujinga wao
Watoto wa uswazi ndiyo fisi gani hao?