Gwajima amcharukia Diamond

Uyu mchungaji jamani.
Kweli zile nyakati za mwisho zaja
 
Huyu jamaa ni mnafiq tena anawawaibiatu waumini, sijawahi ona mchungaji wa sampuli hii kabisa! Ila akae akijua atamalizia kubaya!.
Mimi sio mkristu ila huyu mchungaji angalau ni bora kuliko wale wakiroma ambao kipindi cha kikwete ikitokea jambo dogo tu lazma waandae waraka mzima wa kumkosoa ila toka "mwenzao" aingie naona wao kazi kumsifia tu na wala hutowaona wakikemea lolote hta kma limekuwa habari kubwa huku mtaani.

Nachoona kwa huyu mchungaji ni kujaribu kulinda credibility yake iliyotaka kumalizwa na makonda ssa mlitaka akae kimya na nchi nzima iaminishwe "askofu muuza dawa"!!! Tena bila ushahidi??? . Mkuu siku ukitajwa jina lako hadharani kuwa unajihusisha na mapenzi ya jinsia moja naamini utapatwa na jazba na maumivu kuliko askofu huyu.

Jioni njema
 
Kwa hiyo Gwajima na Diamond nani maarufu, Gwajima umaarufu wake upo mijini tu wakati Diamond kila kona ya Tanzania na Afrika kwa ujumla.!
Upuuzi Diamond akiwa maarufu duniani inakusaidia nini wewe na familia yako.
 
Maumivu ya kushindwa ni mabaya sana,na ndio yanao wasumbua wa Tanzania hivyo linapo patikana tukio wanakuwa mstari wa mbele kulichangamkia kwa ajili ya kujipoza na maumivu ya kushindwa nandio maana nchi yetu imekuwa ya matukio linatoka hili linaingia hili.miaka inaenda miaka inarudi unasubiri serikali ikuletee maendeleo.Mungu atusaidie
 
Kweli Watanzania hasa tunaoshinda mitandaoni inatakiwa tujiongeze kidogo, kwa upande wangu siwezi amini kama hiyo picha na maneno ni ya Gwajima au ndio yule Shilawadu kaanza kuchonganisha tena!! Binafsi nitaiamini picha na maneno hayo na kuwa na cha kukomenti zaidi endapo hiyo kesho Almasi itageuzwa Maji, ikiwa vinginevyo nitaamini kuwa Wabongo tuna IQ ndogo kama utafiti uleeeeee
 
Mwisho wa siku gwajima anaingiza pesa,diamond anaingiza pesa.sisi tunaingiza nini?acha nijali shida zangu
 
Gwajima ni chura wa masika hana mbele wala nyuma kazi yake majungu na unafiki...wale vibaraka wa watu hawa nfungieni maana ndo zenu
 

Akofu Gwajima. Kama kweli ndiwe uliyenena maneno hayo. Imenipa shaka na utumishi wako kwa Yahu Eloi wetu. Ila inanipa kujua kabisa kuwa unamtumikia mungu na si YAHU ELOI wetu. Umenielewa vizuri.

kwa mliobakia mjue kuwa kuna miungu mingi mno. inayoabudiwa kwa namna mbali mbali. ila Yahu ni mmoja tu muumba wetu na mbingu zote. Zaburi 82.
 
Dah.... Yaani kahaba ni kahaba tu hawezi kubadilika.... [emoji13] [emoji13]
 
Eeeeeeehhhh Mungu wa neema, mbariki mtumishi wako Gwajima aishi miaka mingi na kusema iliyo kweli kwa muongozo wako. Kwa jina la YESU KRISTO aliye hai. Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…