Gwajima amcharukia Diamond

Mbona hujasema who say this?
 
Huyu naye anatumia kanisa vibaya. Visasi tu, Yale mafunzo yanayosema samehe anayafundishaje kanisani kwake? Du hii kali
Kwa hiyo wamchokoze tu kwa sababu kuna andiko linalohusu kusamehe? Hata Mungu mwenyewe hayupo hivyo!!!!!
 
Gwajima mpuuzi tu
Wewe mchungaji lakini kutwa kushadadia mambo yalipuuzi!!
Waumini wa Gwajima wanasafari ndefu!
 
Ila huwa wanamuanza,halafu baadae wanaanza kulia lia.
 
DIAMOND atabaki kuwa juu kwa miaka mingi ijayo,maana kila ANACHOKIFANYA NI TUKIO LA TAIFA.Ona jinsi alivyowaamisha watu kutoka kumtafakari Roma hadi kuongelea alichoimba MOND.
 
Kashaomba msamaha diamond kupitia ukurasa wake wa istagram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…