Gwajima amcharukia Diamond

Gwajima amcharukia Diamond

Yala! Yala! Jamani Mwenzenu nimeyatimba..... lakini mi nafkiri watu wanatakiwa waiskilize hii nyimbo kwa umakini sana tena sana na wataelewa nini ilikuwa maana yangu haswa... Hususani kama kipengele nilichomtaja mzee wangu @Bishopgwajima nilisema: "mara nasikia vya aibu Konda na Gwajima eti ugomvi umekolea....ila kuchunguza kwa karibu ni kuna binti mmoja tu ndio kwa mitandao anachochea..."
Point yangu ni kwamba licha ya kweli kuna yaliyojiri nyuma, lakini kwa busara zao ninazoamini wamejaaliwa na Mwenyez Mungu muda si mref wangekaa chini na kumaliza...nawote kufurahi kwa pamoja, lakini kwakuwa kuna dada mwingine alikua anachochea hawa ndugu zetu wazidi kufarakana...ikapelekea hadi kufikia hapa...asa hapo kosa langu mie liko wapi?
Chonde chonde mzee wangu @Bishopgwajima usinigeuze maji kesho , mana nakujua ukimuamulia mtu.... naweza jumapili ya kesho nikaiona chungu Mwaka mzima
Mbona hujasema who say this?
 
Kati ya hawa watu wawili hapo juu ni nani maarufu zaidi?
Nauliza tu, ili nijui nani atakuwa anatafuta kick kwa mwenzie....
00c4ebdd2ff32ebafbc2f89407ea69d2.jpg
 
Gwajima mpuuzi tu
Wewe mchungaji lakini kutwa kushadadia mambo yalipuuzi!!
Waumini wa Gwajima wanasafari ndefu!
 
Ila huwa wanamuanza,halafu baadae wanaanza kulia lia.
 
DIAMOND atabaki kuwa juu kwa miaka mingi ijayo,maana kila ANACHOKIFANYA NI TUKIO LA TAIFA.Ona jinsi alivyowaamisha watu kutoka kumtafakari Roma hadi kuongelea alichoimba MOND.
 
Kashaomba msamaha diamond kupitia ukurasa wake wa istagram
 
Back
Top Bottom