Gwajima amcharukia Diamond

Nitakuwa pale Ubungo, saa ya makombora ikifika uniite!
Yala! Yala! Jamani Mwenzenu nimeyatimba..... lakini mi nafkiri watu wanatakiwa waiskilize hii nyimbo kwa umakini sana tena sana na wataelewa nini ilikuwa maana yangu haswa... Hususani kama kipengele nilichomtaja mzee wangu @Bishopgwajima nilisema: "mara nasikia vya aibu Konda na Gwajima eti ugomvi umekolea....ila kuchunguza kwa karibu ni kuna binti mmoja tu ndio kwa mitandao anachochea..."
Point yangu ni kwamba licha ya kweli kuna yaliyojiri nyuma, lakini kwa busara zao ninazoamini wamejaaliwa na Mwenyez Mungu muda si mref wangekaa chini na kumaliza...nawote kufurahi kwa pamoja, lakini kwakuwa kuna dada mwingine alikua anachochea hawa ndugu zetu wazidi kufarakana...ikapelekea hadi kufikia hapa...asa hapo kosa langu mie liko wapi?
Chonde chonde mzee wangu @Bishopgwajima usinigeuze maji kesho , mana nakujua ukimuamulia mtu.... naweza jumapili ya kesho nikaiona chungu Mwaka mzima
 
Anyooshwe tu. Haina kurudi nyuma.
 
Huku mtaani tunaimba. utatoa - hutoi. Utatoa - hutoi. Utatoa - hutoi.
 
hhahhaha yaani inabidi ucheke tuu binafsi mimi sio shabiki wa gwajima ila napenda anavyo ongea

sidhani kama atamnyima domo usingizi zaidi atamuongezea umaarufu

ngoja tuupe muda nafasi uwe hakimu
Una uhakika kama ni yeye aliyetoa hiyo kauli?

Dont judge , you will not be judged.
 
Diamond atajuta kumfahamu Bashite..kwa kunogesha tu Baba Askofu tambua kwamba Diamond ndio kinara wa biashara ya mihadharati
 
Ninachosikitika watanzania tumekuwa kama chuma (conductor) , sehemu ya joto tunakuwa wamoto, sehemu ya baridi tunakuwa wa baridi na sehemu ya vuguvugu tunakuwa na uvuguvugu kwa kifupi tumekuwa oya oya au bendera inayofuata upepo. Haya ila sometimes tutumie vichwa vyetu la sivyo ili taifa linaelekea kubaya, wanasiasa na mitandao ya kijamii, yanaharibu umoja, upendo na ushirikiano wa hili taifa letu, kwa kifupi wanatugawa.
 
Sampuli hii, sampuli hii, kijana naye ameweka miguu kwenye machine ya kusaga na kukoboa,!!
 
Umelikoroga linywe unaacha kutuletea burudani unaingilia mambo ya wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…