ZIRO
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 896
- 658
Tuache sie tumekubali kutapeliwa twende.. wewe tulia kwa mamaGwajima siyo mchungaji Ni tapeli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuache sie tumekubali kutapeliwa twende.. wewe tulia kwa mamaGwajima siyo mchungaji Ni tapeli
Yala! Yala! Jamani Mwenzenu nimeyatimba..... lakini mi nafkiri watu wanatakiwa waiskilize hii nyimbo kwa umakini sana tena sana na wataelewa nini ilikuwa maana yangu haswa... Hususani kama kipengele nilichomtaja mzee wangu @Bishopgwajima nilisema: "mara nasikia vya aibu Konda na Gwajima eti ugomvi umekolea....ila kuchunguza kwa karibu ni kuna binti mmoja tu ndio kwa mitandao anachochea..."Nitakuwa pale Ubungo, saa ya makombora ikifika uniite!
Anyooshwe tu. Haina kurudi nyuma.Yala! Yala! Jamani Mwenzenu nimeyatimba..... lakini mi nafkiri watu wanatakiwa waiskilize hii nyimbo kwa umakini sana tena sana na wataelewa nini ilikuwa maana yangu haswa... Hususani kama kipengele nilichomtaja mzee wangu @Bishopgwajima nilisema: "mara nasikia vya aibu Konda na Gwajima eti ugomvi umekolea....ila kuchunguza kwa karibu ni kuna binti mmoja tu ndio kwa mitandao anachochea..."
Point yangu ni kwamba licha ya kweli kuna yaliyojiri nyuma, lakini kwa busara zao ninazoamini wamejaaliwa na Mwenyez Mungu muda si mref wangekaa chini na kumaliza...nawote kufurahi kwa pamoja, lakini kwakuwa kuna dada mwingine alikua anachochea hawa ndugu zetu wazidi kufarakana...ikapelekea hadi kufikia hapa...asa hapo kosa langu mie liko wapi?
Chonde chonde mzee wangu @Bishopgwajima usinigeuze maji kesho , mana nakujua ukimuamulia mtu.... naweza jumapili ya kesho nikaiona chungu Mwaka mzima
visasi kuliko bashite na mzee upara?Huyu naye anatumia kanisa vibaya. Visasi tu, Yale mafunzo yanayosema samehe anayafundishaje kanisani kwake? Du hii kali
kausikilize vizuri kamtaja saaanaHuu uwimbo mbona mie sijaskia neno gwajima?
Big NOOOOUpuuzi Diamond akiwa maarufu duniani inakusaidia nini wewe na familia yako.
Una uhakika kama ni yeye aliyetoa hiyo kauli?hhahhaha yaani inabidi ucheke tuu binafsi mimi sio shabiki wa gwajima ila napenda anavyo ongea
sidhani kama atamnyima domo usingizi zaidi atamuongezea umaarufu
ngoja tuupe muda nafasi uwe hakimu
Huku mtaani tunaimba. utatoa - hutoi. Utatoa - hutoi. Utatoa - hutoi.
Umelikoroga linywe unaacha kutuletea burudani unaingilia mambo ya wakubwaYala! Yala! Jamani Mwenzenu nimeyatimba..... lakini mi nafkiri watu wanatakiwa waiskilize hii nyimbo kwa umakini sana tena sana na wataelewa nini ilikuwa maana yangu haswa... Hususani kama kipengele nilichomtaja mzee wangu @Bishopgwajima nilisema: "mara nasikia vya aibu Konda na Gwajima eti ugomvi umekolea....ila kuchunguza kwa karibu ni kuna binti mmoja tu ndio kwa mitandao anachochea..."