Gwajima amcharukia Diamond

Harafu yule kiumbe.... In Gwajima voice[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haka ka diamond haka.....katapata kanachotafuta
 
....Gwajima anakokota pale...anapiga chenga ya kwanza, ya pili, ya tatu...aah anaangushwa ndani ya 18. penati!

penati atapiga Gwajima mwenyewe hapo kesho Jumapili!
Ashapiga hatrick
Jamaa kaomba radhi.kanyoosha mikono
 
Diamond Platinum uka sawa kabisa watu wanadakia mambo na kupublish tu hata kusikiliza kwa makini haja sikiliza.

Nyimbo yako iko vizuri sana na ina ujumbe mzuri sana kwa watu wote wa Serikali,Viongozi,wazazi na mwanainchi wa kawaida na pia wanamitandao .

Ukiusikiliza unalijenga Taifa kimaadili na si kulibomoa.

Ujumbe kwa Askofu Gwajima na wasaidizi wake muda umefika wa kufanya Yale ya maana sasa na si kufanya mambo ya kitoto ambayo hayalisaidii Taifa Bali kuleta mtafaruki na kutengana.

Jitafakarini Mara mbili mbili na kama kuna jambo mnalitafuta basi muda unahesabika mtalipata tu.

Wahubirini waumini wenu kuacha maovu na kumrudia Mungu ili wafike Mbinguni.

Kila mmoja afanye wajibu wake kama utaratibu wa nchi tulivyokubaliana ndani ya Katiba ya mwaka 1977 na si vinginevyo
 
Huyu kijana anachapiwa mkewe, huku anaingizwa mkenge na bashite!!!
Ndio anaporomoka hivyo!!!!!
Ndio bas tena!!!!
... Hivi ameshafunga ndoa na yule mganda au bado wanapasha?
 
Gwajima mpuuzi tu
Wewe mchungaji lakini kutwa kushadadia mambo yalipuuzi!!
Waumini wa Gwajima wanasafari ndefu!
Mond kachemsha kumtetea bashite afu unamponda gwajima . na ile ingeonesha gwajima anaongea uongo sasa naona Mzee kaamua kumzingua mond akili ikae sawa
 
Huyu mchungaji kama kweli ni yeye naanza kuyaamini maneno ya padre wetu kuwa mwisho wa kuwajua watumishi wa Mungu fake unakaribia .
 
Baba Askofu hakuna cha msamaha hao ni mapepo wanataka kuangusha kanisa lako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…