Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....Gwajima anakokota pale...anapiga chenga ya kwanza, ya pili, ya tatu...aah anaangushwa ndani ya 18. penati!Gwajima na mpira.
Ashapiga hatrick....Gwajima anakokota pale...anapiga chenga ya kwanza, ya pili, ya tatu...aah anaangushwa ndani ya 18. penati!
penati atapiga Gwajima mwenyewe hapo kesho Jumapili!
Ana Zari [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Lakin gwajima anahelcopta...sijui domo ananini?
Whaat...DOMO KAONA AOMBE MSAMAHA MAANA DNA ZA WATOTO NA BABA ZAO WANGELETWA LIVE PLUS MACD YA PORN YA ZARI TAABU TUPU
Ila kwa visasi hamshindi baba yake DaudiHuyu naye anatumia kanisa vibaya. Visasi tu, Yale mafunzo yanayosema samehe anayafundishaje kanisani kwake? Du hii kali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hatimae Almasi imeomba isigeuzwe maji
Sasa mbona kababajwa kuomba msamaha?Tukiacha Ushabiki,Kiuhalisia Chibu Kamzid mbali Gwajima nanukuu kutoka kwenye wimbo ni wa Kitambo wa Msanii Mmoja "Watoto wanamjua Diamond na Joti zaid ya Kikwete" Gwajima Anasubir
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]*Diamond ni kiumbe pekee duniani kinachosema kikae kimya huku kinaongea*..[emoji23][emoji38][emoji38]
Hivi mpaka leo hawajamjua tu basi watakua na tatizo flani .Kama ni yeye kweli kaandika hivyo,Mungu awasaidie waumini wake kuijua kweli itawaweka huru
DOMO KAONA AOMBE MSAMAHA MAANA DNA ZA WATOTO NA BABA ZAO WANGELETWA LIVE PLUS MACD YA PORN YA ZARI TAABU TUPU
we subiri muda si mrefu utatambua nani ni mpuuzi
... Hivi ameshafunga ndoa na yule mganda au bado wanapasha?Huyu kijana anachapiwa mkewe, huku anaingizwa mkenge na bashite!!!
Ndio anaporomoka hivyo!!!!!
Ndio bas tena!!!!
Mond kachemsha kumtetea bashite afu unamponda gwajima . na ile ingeonesha gwajima anaongea uongo sasa naona Mzee kaamua kumzingua mond akili ikae sawaGwajima mpuuzi tu
Wewe mchungaji lakini kutwa kushadadia mambo yalipuuzi!!
Waumini wa Gwajima wanasafari ndefu!