Andaa na shukrani kwani anafanya kazi nzuriKesho lazima nikasali kwa Gwajima ngoja niandae na sadaka ya kutosha
Ingia kwenye ukurasa wa Gwajima wa instagramHahahahaha tulikumis baba Gwajima ,mpe huyo domo jagi hadi asikusahau.
Mhhh ila naona kama ya kutungwa vile!
Ndio maana shida na umasikini umewajaa. Gwajima anazidi kutajirika waumini mnaenda kusikia umbea mwishoni mnatoa sadaka. Wewe unatoka zero.Hamna nidhamu ya uoga dunia hii.. mambo ya samehe hakuna hapa upanga kwa upanga jino kwa jino mamaeee
Baba mchungaji mbona ni maarufu siku nyingi.... Single Touch Double Manifestation.....Mbona hajamtaja kwa baya, Gwajima anahangaika tu....Anataka apatie umaarufu kwa Diamond.
Tuhuma za uzinzi nan uaSherat mara nyingi huwa ni siri sasa we mwenzetu umeamua kutoa siri zako na gwajima au! Maana hakuna mwenye kudhihirisha uasherati na uzinzi zaid ya mtendwa au mtenda.Mimi nasubiri nione "mzinzi" na "mwasherati" akiigeuza ALMASI kuwa maji. Nasubiri kwa hamu kubwa.
Sambamba na vyeti feki.........................wachungaji fake
Hii ni Mara ya Pili na ya mwisho Kuku quote. Nahangaika na MTU ambaye kichwani ni Bashite.Ijue kweli na kweli itakuweka huru.
Una uhakika kama ni yeye aliyetoa hiyo kauli?Huyu naye anatumia kanisa vibaya. Visasi tu, Yale mafunzo yanayosema samehe anayafundishaje kanisani kwake? Du hii kali
Watakuja kukumbuka shuka asubuhiDah..Tanzania raha sana.
Miaka mitano ileee...ndio inatokomea.