Gwajima amcharukia Diamond

Gwajima amcharukia Diamond

Daaaa vijana mmeamua kumlisha Bwana Gwajima maneno mazito. Siamini kama ni yeye aliyetoa hayo maneno
 
Ni wakati wa Serikali kurudi kwenye masijara na kuangalia usajili wa kanisa la Ngwajima aka mzee wa Single Touch Double Manifestation kama alisajili kama kanisa au tawi la kisiasa la .......
 
Hamna nidhamu ya uoga dunia hii.. mambo ya samehe hakuna hapa upanga kwa upanga jino kwa jino mamaeee
Ndio maana shida na umasikini umewajaa. Gwajima anazidi kutajirika waumini mnaenda kusikia umbea mwishoni mnatoa sadaka. Wewe unatoka zero.
Diamond is a
Hamna chochote yule mkimsema vibaya ndio kwanza anatajarika
Diamond ni entrepreneur and he knows what he is doing
 
Huyu naye anatumia kanisa vibaya. Visasi tu, Yale mafunzo yanayosema samehe anayafundishaje kanisani kwake? Du hii kali
Una uhakika kama ni yeye aliyetoa hiyo kauli?

Dont judge , you will not be judged.
 
Back
Top Bottom