Gwajima amcharukia Diamond

Gwajima amcharukia Diamond

Yani nilikua nasikitika weekend hii hakuna mtu aliyomchokoza Gwajima. Kesho asubuhi nawahi viti vyambele. Tutajua baba watoto wa kinna Tiffa na Nillan. Tutajua nani mme halali wa Zari. Tutajua mchepuko wa Mama Diamond, yani kesho alfajir nimeshafika
 
View attachment 492823
Salamaaa

Sina mengi zaidi ya kumwambia diamond kesho anunue ndimu pamoja na kinywaji kikali kwani mchungaji keshasema kesho anakuchambua nami ntakwenda kumsikiliza kwamaan umetapika sana kwenye wimbo wako huu mpya.

Kwakuwa uu mnafiki sana basi dawa yako imepatikana.

Sina mengi zaidi ya kukupa pole kwa huu mlango ulioingilia.
Kiki ya Gwajima, kujaza waumini kanisani.
 
Ni wakati wa Serikali kurudi kwenye masijara na kuangalia usajili wa kanisa la Ngwajima kama alisajili kama kanisa au tawi la kisiasa la .......
Jamaniii ivi hujui kiongozi anapokosea anasemwa na kuonywa na kiongozi wa dini?umesahau mamlaka imewekwa na Mungu?swali mamlaka IPI hiyo na inatumia sheria zipi?mamlaka inayotumia sheria za Mungu lazima ihojiwr according to sheria iliyoiweka hiyo mamlaka,,
 
View attachment 492823
Salamaaa

Sina mengi zaidi ya kumwambia diamond kesho anunue ndimu pamoja na kinywaji kikali kwani mchungaji keshasema kesho anakuchambua nami ntakwenda kumsikiliza kwamaan umetapika sana kwenye wimbo wako huu mpya.

Kwakuwa uu mnafiki sana basi dawa yako imepatikana.

Sina mengi zaidi ya kukupa pole kwa huu mlango ulioingilia.
Hiyo ndiyo ibada aliyoiandaa kwa ajili ya mabwege yake.

Aseme tu huo upuuzi wake.
 
Huyo Gwajima wenu hajawahi kuishi uswahilini na hawajui watoto wa uswazi!Gwajima atampakazia nini Daimond mpaka ajisikie ovyo? Watoto wa uswazi wamefanya mengi ya ovyo bila mshipa wa haya utakachokuja kusema later in life hakina impact kwao as long my yao yamechange kiutamuutamu na moja ya good past time yao nikujikumbusha ujinga ujinga wao
 
hhahhaha yaani inabidi ucheke tuu binafsi mimi sio shabiki wa gwajima ila napenda anavyo ongea

sidhani kama atamnyima domo usingizi zaidi atamuongezea umaarufu

ngoja tuupe muda nafasi uwe hakimu
 
Huyo mchungaji asambaze injili ya bwana, Yesu alitukanwa na kukashifiwa sana na warumi, mafarisayo na watu wasio mcha Mungu lakini hakunyanyua kinywa chake kusambaza umbeya.

Huo wimbo wa Diamond nimeusikiliza kwa umakini sana, Chibu kajaribu kuwa neutral sana sana sana. Asingeweza kuimba zaidi ya alivyoimba. Kipande cha Gwajima anasema "Mara nasikia Konda, Gwajima ugomvi umekolea". Sasa hapo Chibu kamchafua wapi Gwajima.

Chibu anasema asimame wapi, yeye mtoto wa pande zote, anasema wazi kila akijaribu kunyamaza moyo unakataa, msikilize kwa makini anasema media zote wanataka kiongozi atoke, nchi inaingia matope (hapa yupo wazi kabisa kua japo Konda ni mlezi wao lkn uwepo wake ni kama nchi imeingia matope).

Gwajima hawezi kumshusha Diamond hata afanye nini. Dogo yupo strong kuliko Gwajima anavyodhania. Dogo anajenga misikiti na kurudisha fadhila kwa jamii, yeye Gwajima hata kanisa lake kashindwa kujenga anasalisha watu uwanjani.
 
Ni wakati wa Serikali kurudi kwenye masijara na kuangalia usajili wa kanisa la Ngwajima aka mzee wa Singe Touch Double Manifestation kama alisajili kama kanisa au tawi la kisiasa
 
Back
Top Bottom