Gwajima amcharukia Diamond

Gwajima amcharukia Diamond

Ni wakati wa Serikali kurudi kwenye masijara na kuangalia usajili wa kanisa la Ngwajima aka mzee wa Singe Touch Double Manifestation kama alisajili kama kanisa au tawi la kisiasa
Sio serikali iende nacte iangalia jina la bashite
 
Ni wakati wa Serikali kurudi kwenye masijara na kuangalia usajili wa kanisa la Ngwajima kama alisajili kama kanisa au tawi la kisiasa la .......
Kwani viongozi tuliowachagua tuliwachagua ili wawe wavamizi wa ofisi za watu???
 
Mchungaj katulia watu wanamtobua wenyew akiongea mara ooh co mtumishi wa mungu. Nani kakwambia ukiwa mtumishi unatakiw kuishi kama kondoo wa kafala!!??? Go goo Gwajima!!
 
Hahhaaa kweli kila siku linakuja jipya. Siku nikipoteza smartphone sijui itakuaje. Maana naona wasiokuwa na smartphone hawaifaidi hii nchi
Yellow Masai , Mimi nikikosa dagaa si taabu sana nitatumia chumvi, ila nikikosa bado najawa stress
 
Back
Top Bottom