NIYOMBARE
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,718
- 4,228
Ni kweli bashite anawashwaAnawashwa huyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli bashite anawashwaAnawashwa huyo!
Editing at its very best!
Watanzania wengi ni wajinga sana, wewe ni mmoja wapo, hauna hata viulizo kuwa hayo ni maandishi ya kupachika hapo ktk picha??Dangote analo bora angekaa kimya kweli
Mimi nasubiri nione "mzinzi" na "mwasherati" akiigeuza ALMASI kuwa maji. Nasubiri kwa hamu kubwa.View attachment 492823
Salamaaa
Sina mengi zaidi ya kumwambia diamond kesho anunue ndimu pamoja na kinywaji kikali kwani mchungaji keshasema kesho anakuchambua nami ntakwenda kumsikiliza kwamaan umetapika sana kwenye wimbo wako huu mpya.
Kwakuwa uu mnafiki sana basi dawa yako imepatikana.
Sina mengi zaidi ya kukupa pole kwa huu mlango ulioingilia.