Gwajima anaanzisha ugomvi yeye halafu anawakimbia yeye like seriously ?

Anajiita Bishop ila matendo yake kama mhuni wa kinondoni, hapendi shwari anapenda shari, mdomo usio na kiasi, ubishi, ujuaji kiburi mbele ya mamlaka ambayo ina nguvu kuliko yeye na ukoo wake wote.

Tamaa yake ya kutaka kiti cha uraisi ni njema ila nia yake moyoni juu ya kutaka kiti hicho cha urais si njema.

Kwa wale wakristo naomba tusome maandiko hapa ya Neno la Mungu kuhusu sifa za Askofu anayepaswa kuwa:

1 Timotheo 3:2-7 (NEN)
[2] Basi, imempasa mwangalizi awe mtu asiye na lawama, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi, anayejitawala, anayeheshimika, mkarimu, ajuaye kufundisha, [3] asiwe mlevi, wala mkali bali awe mpole, asiwe mgomvi wala mpenda fedha. [4] Lazima aweze kuisimamia nyumba yake mwenyewe vizuri na kuhakikisha kwamba watoto wake wanamtii na kuwa na heshima kwa kila njia. [5] (Kwa maana kama mtu hajui jinsi ya kusimamia nyumba yake mwenyewe, atawezaje kuliangalia kanisa la Mungu?) [6] Asiwe mtu aliyeokoka karibuni asije akajivuna na kuangukia kwenye hukumu ile ile ya ibilisi. [7] Inampasa pia awe na sifa njema kwa watu walio nje, ili asije akalaumiwa na kuanguka kwenye mtego wa ibilisi.

Sasa ukimpima huyu anayejiita huyu Askofu hizo sifa zote hana ila wengi mmejificha kwenye kivuli cha kumtazama kama mpigania haki jambo ambalo si kweli.

Ukifanya screening ya kiroho huyu mtu hana nia njema kwa kile anachokizungumza au kukipigania ana mambo yake binafsi anayoyapigania ndio maana imekuwa rahisi kulikimbia kanisa lake na kuwaacha mamia ya waumini kupata changamoto mahali pa kuabudia hilo kwake unafikiri hakuwaza kabla ?

Alishaona ataingia kwenye misukosuko lakini kwa kuwa anapigania jambo lake hakujali kabisa kuhusu maslahi ya watu wake (waumini)

Hajali kabisa kuhusu hasara anazoziingiza kwenye kanisa lake baada ya haya yote kutokea.. narudia tena mtu mbinafsi huwa hajali lolote wala mtu yeyote zaidi ya yeye binafsi na mambo yake binafsi.

Watu wote waliopotezwa na polisi wengi wao ni kwasababu ya mdomo usio na kiasi, kiburi, ujuaji na kuikosea heshima mamlaka kama wewe unabisha anza kutukana sasa hivi mitandaoni uone kama wiki utamaliza na tulivyowapumbavu tunataka kumtetea mtu aliyeinajisi mmamlaka kwa kuikosoa serikali bila heshima na matusi juu kwa Rais aliyeoko mamlakani mbaya zaidi hata huyo Lissu mnayemshabikia akifanikiwa kuingia madarakani kuna makosa atafanya na bado mtamtukana kana kwamba aliingia ikulu kwa kujipigia kura mwenyewe.

Ni kweli Serikali yetu kwenye baadhi ya mambo haipo sawa sio Tanzania tu hili ni tatizo la dunia nzima tunapishana tu uzito ila njia gani sahihi za kuondoa hayo yote bila kubishana na mamlaka.? La sivyo tuendelee kubondwa tu hivi hivi mpaka masikio yapate kusikia vizuri.

Njooni mnitukane!
Wewe kweli huna akili, ugomvi gani aliounzisha gwajima? wewe unasoma maandiko kweli? Mitume wa zamani hawakukemea watawala wadhalimu hadi kumpelekea baadhi yao kuuwawa kikatili? Viongozi wa dini wasiokemea udhalimu wa watawala nakuchagua kukaa kimya pale dola inapofanya uovu dhidi ya raia hawastahili kupelekewa sadaka!
 
Sasa ppata picha ulimuahidi boss wako kuwa utamteka Askofu,

Amekuzidi akili,utasemaje sasa?
 
Mkuu wa mada weka na picha yako tuone mkuu
 
acha ujinga, uaskofu unasomewa wapi
Yaani mburula yeyote anaweza kuwa Askofu?Kuwa na elimu ya theology, Canon law na Scripture sio vigezo?.
Au mjinga yeyote anaweza kuanzisha kanisa na kujiita Askofu?
 
fahamu maana ya askofu. Hizo doctrine na dogma ni upuuzi mtupu
 
Anajiita Bishop ila matendo yake kama mhuni wa kinondoni, hapendi shwari anapenda shari, mdomo usio na kiasi, ubishi, ujuaji kiburi mbele ya mamlaka ambayo ina nguvu kuliko yeye na ukoo wake wote.

Tamaa yake ya kutaka kiti cha uraisi ni njema ila nia yake moyoni juu ya kutaka kiti hicho cha urais si njema.

Kwa wale wakristo naomba tusome maandiko hapa ya Neno la Mungu kuhusu sifa za Askofu anayepaswa kuwa:

1 Timotheo 3:2-7 (NEN)
[2] Basi, imempasa mwangalizi awe mtu asiye na lawama, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi, anayejitawala, anayeheshimika, mkarimu, ajuaye kufundisha, [3] asiwe mlevi, wala mkali bali awe mpole, asiwe mgomvi wala mpenda fedha. [4] Lazima aweze kuisimamia nyumba yake mwenyewe vizuri na kuhakikisha kwamba watoto wake wanamtii na kuwa na heshima kwa kila njia. [5] (Kwa maana kama mtu hajui jinsi ya kusimamia nyumba yake mwenyewe, atawezaje kuliangalia kanisa la Mungu?) [6] Asiwe mtu aliyeokoka karibuni asije akajivuna na kuangukia kwenye hukumu ile ile ya ibilisi. [7] Inampasa pia awe na sifa njema kwa watu walio nje, ili asije akalaumiwa na kuanguka kwenye mtego wa ibilisi.

Sasa ukimpima huyu anayejiita huyu Askofu hizo sifa zote hana ila wengi mmejificha kwenye kivuli cha kumtazama kama mpigania haki jambo ambalo si kweli.

Ukifanya screening ya kiroho huyu mtu hana nia njema kwa kile anachokizungumza au kukipigania ana mambo yake binafsi anayoyapigania ndio maana imekuwa rahisi kulikimbia kanisa lake na kuwaacha mamia ya waumini kupata changamoto mahali pa kuabudia hilo kwake unafikiri hakuwaza kabla ?

Alishaona ataingia kwenye misukosuko lakini kwa kuwa anapigania jambo lake hakujali kabisa kuhusu maslahi ya watu wake (waumini)

Hajali kabisa kuhusu hasara anazoziingiza kwenye kanisa lake baada ya haya yote kutokea.. narudia tena mtu mbinafsi huwa hajali lolote wala mtu yeyote zaidi ya yeye binafsi na mambo yake binafsi.

Watu wote waliopotezwa na polisi wengi wao ni kwasababu ya mdomo usio na kiasi, kiburi, ujuaji na kuikosea heshima mamlaka kama wewe unabisha anza kutukana sasa hivi mitandaoni uone kama wiki utamaliza na tulivyowapumbavu tunataka kumtetea mtu aliyeinajisi mmamlaka kwa kuikosoa serikali bila heshima na matusi juu kwa Rais aliyeoko mamlakani mbaya zaidi hata huyo Lissu mnayemshabikia akifanikiwa kuingia madarakani kuna makosa atafanya na bado mtamtukana kana kwamba aliingia ikulu kwa kujipigia kura mwenyewe.

Ni kweli Serikali yetu kwenye baadhi ya mambo haipo sawa sio Tanzania tu hili ni tatizo la dunia nzima tunapishana tu uzito ila njia gani sahihi za kuondoa hayo yote bila kubishana na mamlaka.? La sivyo tuendelee kubondwa tu hivi hivi mpaka masikio yapate kusikia vizuri.

Njooni mnitukane!
gwajima kaanzisha ugomvi na nani?
 
TRMP mwenyewe alikoswa na risasi wakati wa kampeni,,,SAMAKI anayefunga mdomo ni vigumu kuvuliwa!!
 
  • Kicheko
Reactions: Tui

Gwajiboy amepima kina cha maji kwa miguu miwili sasa hivi anajiita Jumanne anamuomba Mufti amuombee msamaha
 
  • Thanks

Umeshajitukana tayari, wala hatuhitaji kujichafua kwa ujinga wako.
 
Kasomea wapi Uaskofu?Mbona mnadhalilisha sana Uaskofu?Kasomea vyuo gani?Nisaidie kujua tafadhali.
1 Tim 3:1-10 SUV

Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema. Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha; si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana, wala asiwe mwenye kupenda fedha; mwenye kuisimamia nyumba yake vema, ajuaye kutiisha watoto katika ustahivu; (yaani, mtu asiyejua kuisimamia nyumba yake mwenyewe, atalitunzaje Kanisa la Mungu?) Wala asiwe mtu aliyeongoka karibu, asije akajivuna akaanguka katika hukumu ya Ibilisi. Tena imempasa kushuhudiwa mema na watu walio nje; ili asianguke katika lawama na mtego wa Ibilisi. Vivyo hivyo mashemasi8 na wawe wastahivu; si wenye kauli mbili, si watu wa kutumia mvinyo sana, si watu wanaotamani fedha ya aibu; wakiishika siri ya imani katika dhamiri safi. Hawa pia na wajaribiwe kwanza; baadaye waitende kazi ya shemasi, wakiisha kuonekana kuwa hawana hatia
 
Kwa uandishi huu, tunasafari ndefu sana ya kifikra,

Sitaki kuamini kwamba mwandishi haoni wala hasikii yanayoendelea...
Ila napata jibu kwamba ni heli kuwa mjinga kuliko kuwa mpumbavu..
Maana >>Mjinga ni sawa na mtu aliyelala,ukimuamsha ataamka. lakin >>Mpumbavu ni sawa na mtu aliyemacho,lakin anajifanya amelala, huyu kumuamsha ni mpaka aamue mwenyewe!!
 
Anajiita Bishop ila matendo yake kama mhuni wa kinondoni, hapendi shwari anapenda shari, mdomo usio na kiasi, ubishi, ujuaji kiburi mbele ya mamlaka ambayo ina nguvu kuliko yeye na ukoo wake wote.

Tamaa yake ya kutaka kiti cha uraisi ni njema ila nia yake moyoni juu ya kutaka kiti hicho cha urais si njema.

Kwa wale wakristo naomba tusome maandiko hapa ya Neno la Mungu kuhusu sifa za Askofu anayepaswa kuwa:

1 Timotheo 3:2-7 (NEN)
[2] Basi, imempasa mwangalizi awe mtu asiye na lawama, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi, anayejitawala, anayeheshimika, mkarimu, ajuaye kufundisha, [3] asiwe mlevi, wala mkali bali awe mpole, asiwe mgomvi wala mpenda fedha. [4] Lazima aweze kuisimamia nyumba yake mwenyewe vizuri na kuhakikisha kwamba watoto wake wanamtii na kuwa na heshima kwa kila njia. [5] (Kwa maana kama mtu hajui jinsi ya kusimamia nyumba yake mwenyewe, atawezaje kuliangalia kanisa la Mungu?) [6] Asiwe mtu aliyeokoka karibuni asije akajivuna na kuangukia kwenye hukumu ile ile ya ibilisi. [7] Inampasa pia awe na sifa njema kwa watu walio nje, ili asije akalaumiwa na kuanguka kwenye mtego wa ibilisi.

Sasa ukimpima huyu anayejiita huyu Askofu hizo sifa zote hana ila wengi mmejificha kwenye kivuli cha kumtazama kama mpigania haki jambo ambalo si kweli.

Ukifanya screening ya kiroho huyu mtu hana nia njema kwa kile anachokizungumza au kukipigania ana mambo yake binafsi anayoyapigania ndio maana imekuwa rahisi kulikimbia kanisa lake na kuwaacha mamia ya waumini kupata changamoto mahali pa kuabudia hilo kwake unafikiri hakuwaza kabla ?

Alishaona ataingia kwenye misukosuko lakini kwa kuwa anapigania jambo lake hakujali kabisa kuhusu maslahi ya watu wake (waumini)

Hajali kabisa kuhusu hasara anazoziingiza kwenye kanisa lake baada ya haya yote kutokea.. narudia tena mtu mbinafsi huwa hajali lolote wala mtu yeyote zaidi ya yeye binafsi na mambo yake binafsi.

Watu wote waliopotezwa na polisi wengi wao ni kwasababu ya mdomo usio na kiasi, kiburi, ujuaji na kuikosea heshima mamlaka kama wewe unabisha anza kutukana sasa hivi mitandaoni uone kama wiki utamaliza na tulivyowapumbavu tunataka kumtetea mtu aliyeinajisi mmamlaka kwa kuikosoa serikali bila heshima na matusi juu kwa Rais aliyeoko mamlakani mbaya zaidi hata huyo Lissu mnayemshabikia akifanikiwa kuingia madarakani kuna makosa atafanya na bado mtamtukana kana kwamba aliingia ikulu kwa kujipigia kura mwenyewe.

Ni kweli Serikali yetu kwenye baadhi ya mambo haipo sawa sio Tanzania tu hili ni tatizo la dunia nzima tunapishana tu uzito ila njia gani sahihi za kuondoa hayo yote bila kubishana na mamlaka.? La sivyo tuendelee kubondwa tu hivi hivi mpaka masikio yapate kusikia vizuri.

Njooni mnitukane!

Ameanzisha ugomvi gani?
 
Back
Top Bottom