Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

Tumeshawachoka sasa, naona Makonda anatumika kama mtaji wa kibiashara na huyu mtu, Dini kwake ni biashara, mkubali mkatae.

Anzisha ya kwako na wewe uifanye ya biashara mkuu, hujakatazwa.

Wewe inakuuma nini, anzisha yako uifanye utakavyo, hiyo ni yake anaifanya atakavyo, wewe unataka kumpangia jinsi unavyotaka aiendeshe umemsaidia kuianzisha?
 
Una maana anachofanya ni kizuri, kisa na mimi sijakatazwa kutenda uovu anaofanya basi nikae tu kimya, nisiseme? Bogus!
 
Huyu jamaa mbona anawatetea hata waliothibitika ni watumiaji wa madawa? kuna kitu !!! uchunguzi zaidi ufanyike dhidi yake
 
Back
Top Bottom