Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

Ila Jambo moja mbona kama yuko kwenye mkutano wa hadhara sijasikia akirejea ktk vitabu /mistari ktk Bible ili kuyapa nguvu hayo anayozungumza.
 
mbona unaumia zaidi kuliko watoa sadaka wenyewe?? pilipili iko shamba wewe uku unawashwa na nini??

Nawahurumia watu wasio kuwa na hata pesa ya kushona sare ya kwaya maana walipokuwa pale central zilikuwa chakavu sana .
Kumbuka, sare zao chafu, chakavu na hata chakula hawana wanakunywa maji ya na kutafuna ubuyu.

Na bado uchwara Gwajima akitumia jina la RC kuendelea kujipatia fedha hata hizo kidogo kutoka kwao.

Endelea kuwa muumini wa uchwara Gwajima, utaja shituka kuvuta shuka kukiwa kumeisha kucha.
 
Ila Jambo moja mbona kama yuko kwenye mkutano wa hadhara sijasikia akirejea ktk vitabu /mistari ktk Bible ili kuyapa nguvu hayo anayozungumza.

Haaa haaaa dini uchwara na viongozi dini uchwara za type ya Gwajima ndivyo zilivyo hata hiyo bible haisomwi zaidi inaweza ikasomwa mstari mmoja mahubiri yake sasa yakawa Masaa matano porojo tupu.

Ni wapiga deal tu.
 
Sasa gazeti la udaku la MWANAHALISI linasomwa kanisani!!!!!? halafu anatuzuga eti kafanya utafiti.. ukifuatilia vizuri anachokisoma na riwaya za kubuni za KUBENEA vinafanana. Kumbe ndio kilichompeleka kubenea kwenda kusali hapo ilihali yeye sio imani hiyo???
 
Hamjajua inauma kiasi gani kusingiziwa kashfa kubwa kama hiyo ya kuwa mtu wa dini huyo eti anauza madawa anajihusisha na madawa ya kulevya, siyo kama napenda kumuona gwajima anavyooendeleza hili tatizo, ila mbona hatujasikia tamko lolote LA kumsafisha gwajima kuwa hausiki, na ndiyo maana anajaribu kujisafisha mwenyewe, serikali itoe tu tamko kuwa ni makosa yalitendeka kama kweli yalikuwa makosa lakini, hamuezi jua ni kiasi gani gwajima ameathirika kichwani kutokana na swala hili, tusipende tu kumhukumu mtu na pia tupendane Tanzania ni moja hiii
 
Kwa Mahitaji Ya Nguo Za Kiume za Kijanja Hapa Nchini
Tembelea
Black_Shop_Online
*Instagram*
Delivering wherever You Are in All Regions in Tz
WhatsApp or Call
*0713078949*
Best
*Quality*
&
*Quantity*
Hizi tabia za Insta na FB msizilete huku tafadhali mzee..
 
Hamjajua inauma kiasi gani kusingiziwa kashfa kubwa kama hiyo ya kuwa mtu wa dini huyo eti anauza madawa anajihusisha na madawa ya kulevya, siyo kama napenda kumuona gwajima anavyooendeleza hili tatizo, ila mbona hatujasikia tamko lolote LA kumsafisha gwajima kuwa hausiki, na ndiyo maana anajaribu kujisafisha mwenyewe, serikali itoe tu tamko kuwa ni makosa yalitendeka kama kweli yalikuwa makosa lakini, hamuezi jua ni kiasi gani gwajima ameathirika kichwani kutokana na swala hili, tusipende tu kumhukumu mtu na pia tupendane Tanzania ni moja hiii
Ikiwa ameathirika kichwani mshaurini basi apumzike la sivyo atawapotosha nyie waumini wake. Badala ya kuhubiri mambo ya dini anahubiri siasa; imekuwa too much sasa!
 
Hamjajua inauma kiasi gani kusingiziwa kashfa kubwa kama hiyo ya kuwa mtu wa dini huyo eti anauza madawa anajihusisha na madawa ya kulevya, siyo kama napenda kumuona gwajima anavyooendeleza hili tatizo, ila mbona hatujasikia tamko lolote LA kumsafisha gwajima kuwa hausiki, na ndiyo maana anajaribu kujisafisha mwenyewe, serikali itoe tu tamko kuwa ni makosa yalitendeka kama kweli yalikuwa makosa lakini, hamuezi jua ni kiasi gani gwajima ameathirika kichwani kutokana na swala hili, tusipende tu kumhukumu mtu na pia tupendane Tanzania ni moja hiii

Tatizo lako hapo, unapaswa uelewe kuwa ulichoandika kinaweza kuwa kweli kuwa Gwajima hana hatia .

Pia, unaweza usiwe sahihi kabisa maana bado unadhania kuwa Gwajima hana hatia katika hiyo kesi ya madawa. Kumbuka, Gwajima yuko chini ya uangalizi wa kuripoti polisi, na ndiyo maana unaona bado alienda kukaguliwa tena nyumbani kwake kwa mara ya pili.

Lakini, kumbuka serikali inaweza ikawa na taarifa zako zote ila wewe unadhani kuwa hakuna ajuae unachokifanya, ila serikali inaelewa kila mtu.

Subiria utaona, majibu yake baada ya kikao cha Dodoma kuisha.

Lakini, serikali haiwezi ikawa na uoga wa kumhoji kiongozi wa dini eti kwa sababu yeye ni kiongozi wa dini tutakosea sana na kama Taifa halitafika tunakohitaji kufika.

Mfano, Lusekelo, Mzee wa Upako, amewahi kutajwa na kuhusishwa na dawa je, ilimuona akibwatuka kama huyo uchwara Gwajima?

Jifunze pia huruka za watu na hizi dini hasa za jamii ya Gwajima ambazo ni profit oriented (pesa mbele na siyo biblia au kanisa)

Pia, kumbuka, huyo bishop uchwara Gwajima, alipo kuwa ana mbwatukia Askofu Pengo, uliona jinsi Pengo alivyotumia hekima kubwa na kunyamaza juu ya Yale matusi ya uchwara Gwajima kwa Bishop Pengo?

Utaelewa kuwa serikali siyo ya kuchezea hata kama mjomba wako ndiyo kiongozi.

Kwa hiyo, wewe unapaswa uelewe saikolojia inatufundisha nini juu ya waharifu, mara nyingi sana kwa mujibu wa wanasaikolojia, mtu ambaye ni mharifu mara nyingi sana anatumia nguvu nyingi sana kutaka kujikosha katika jamii na watu .

Kwa hiyo, nikimuweka uchwara Gwajima katika saikolojia namuona kabisa kuwa ni mkosaji na anaweza akawa kweli ni aidha, muuzaji, msafirishaji au mula sembe ya sumu.

Muda ni rafiki mzuri, tusubiri jibu la serikali siku ikisema utashangaa.
 
Tatizo Watanzania wengi mnaingiza Kila jambo Katika siasa MI si mwanasiasa ila napenda kuangaliA mambo Katika picha halisi siNaga tabia ya kumpenda mtu au kuwa na mahabA na mtu, Tanzania dunia ni kubwa Sana na Gwajima alichafuliwa kupitia vyombo vya habari so anahitaji siku nyingi Sana za Kujisafisha na si Unajua tena ukiwa unajisafishA mwenyewe Kuna maeneo kuyafikia siyo rahisi, sasa vumilia tu atamaliza, you have to Finnish wht you start, au umesahau msemo huu
 
Huyu nae amekosa cha kuhubiri kila siku Makonda? Afu ma waumini wake wamekuwa kama wa kibwetele wanaitikia tu mchungaji wao anataja jina la Makonda badala ya la Mungu
 
99% ya mafundisho yake ni hulka zake binafsi na sio mafundisho ya YESU KRISTO, visasi na majivuno si kwa wana wateule wa MUNGU, husuda na kutosamehe ni mipango na viashiria vya shetani, this guy is really a false prophet who have/will lead many to hell,
 
Siyo kwenye hili
 
Tatizo lako hapo, unapaswa uelewe kuwa ulichoandika kinaweza kuwa kweli kuwa Gwajima hana hatia .

Pia, unaweza usiwe sahihi kabisa maana bado unadhania kuwa Gwajima hana hatia katika hiyo kesi ya madawa. Kumbuka, Gwajima yuko chini ya uangalizi wa kuripoti polisi, na ndiyo maana unaona bado alienda kukaguliwa tena nyumbani kwake kwa mara ya pili.

Lakini, kumbuka serikali inaweza ikawa na taarifa zako zote ila wewe unadhani kuwa hakuna ajuae unachokifanya, ila serikali inaelewa kila mtu.

Subiria utaona, majibu yake baada ya kikao cha Dodoma kuisha.

Lakini, serikali haiwezi ikawa na uoga wa kumhoji kiongozi wa dini eti kwa sababu yeye ni kiongozi wa dini tutakosea sana na kama Taifa halitafika tunakohitaji kufika.

Mfano, Lusekelo, Mzee wa Upako, amewahi kutajwa na kuhusishwa na dawa je, ilimuona akibwatuka kama huyo uchwara Gwajima?

Jifunze pia huruka za watu na hizi dini hasa za jamii ya Gwajima ambazo ni profit oriented (pesa mbele na siyo biblia au kanisa)

Pia, kumbuka, huyo bishop uchwara Gwajima, alipo kuwa ana mbwatukia Askofu Pengo, uliona jinsi Pengo alivyotumia hekima kubwa na kunyamaza juu ya Yale matusi ya uchwara Gwajima kwa Bishop Pengo?

Utaelewa kuwa serikali siyo ya kuchezea hata kama mjomba wako ndiyo kiongozi.

Kwa hiyo, wewe unapaswa uelewe saikolojia inatufundisha nini juu ya waharifu, mara nyingi sana kwa mujibu wa wanasaikolojia, mtu ambaye ni mharifu mara nyingi sana anatumia nguvu nyingi sana kutaka kujikosha katika jamii na watu .

Kwa hiyo, nikimuweka uchwara Gwajima katika saikolojia namuona kabisa kuwa ni mkosaji na anaweza akawa kweli ni aidha, muuzaji, msafirishaji au mula sembe ya sumu.

Muda ni rafiki mzuri, tusubiri jibu la serikali siku ikisema utashangaa.
Sasa kama wanataalifa zake zote mbona waliowaita wameoshia kuwalaza ndani na kuwaachia huru.....maigizo yale.....serikali duniani hazifanyi kazi kwa style hiyo ya bwana Makonda....thats why Mh rais alistukia utoto uliokuwa ukifanyika na kumpa mtu mwenye kazi yake afanye kazi.......yy si alisema anaushahid wa kutosha mbona wameachiwa sasa......"dogo atoe vyeti asituletee maigizo hapa"
 
Back
Top Bottom