Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

aisee nimeangalia mwanzo mwisho gwajima amemchanachana daudi Albert bashite. yaani anamjua ndani nje. bashite kifungo kinamsubilia akirudi tz kutoka huko ukimbizin alipo south
 
Tunachotaka ni vyeti! Hakika tusiposema katika hili mawe yataongea.Twende zetu Gwajima mpaka kieleweke
 
Wastage of time!!!

Watu wanatafuta wokovu, we kila cku siasa. Kama ulikuwa umeahidiwa ukuu wa mkoa angepita rafikio pole.

Achana na Makonda, weka Injili ya wokovu
Tulieni kinachouma sio dawa ni ugonjwa wa Bashite koromije weka vyeti acheni bla bla
 
Hizo ni sifa zimemzidi kanisani ni sehemu ya bwana na mahali patakatifu sio kwenda kuchamba watu si aanzishe bendi ya taarabu tuu sio kutumia kanisa kama kichaka, waumini wanakosa haki ya mahubiri kwa kukaa kusikiliza habari za makonda
 
kwa mujibu wa maelezo yake nchi inapaswa iyongozwe na maprofesor kiufupi jamaa anajivunjia heshima kila leo kwa mtu ambaye ni mdogo sana ukilinganisha na nyadhifa yake katika dini.
Huo wadhifa ndio ulimuweka Gwajima Lupango.
Muache gwajima ashughulike nayewamalizane.
 
Ikiwa ameathirika kichwani mshaurini basi apumzike la sivyo atawapotosha nyie waumini wake. Badala ya kuhubiri mambo ya dini anahubiri siasa; imekuwa too much sasa!
Too much kwako hatujaona serikali ikimfuatilia Basite halafu wewe unasema too much? Sasa kwa taarifa hili jambo haliisha hadi tuone Bashite kawajibishwa kama wengine walivyowajibishwa, nahasipo wajibishwa hapa atawajibishwa hukohuko alikokimbilia maana anatumia passport ambayo sio yakwake yeye ni Bashite anatumia passport ya Paulo kosa kubwaa
 
Acha ujuha Bashite koromije weka vyeti acheni bla bla
Kila kitu kina mahala pake mkuu,

Sipingi suala la vyeti ila napinga kwa Mtumishi kutokufanya mahubiri yahusuyo imani yake na kuanza kung'ang'ana na vyeti ila ukute hata waumini wake wanafata masuala ya vyeti.

Ila kwangu mimi alishaongea na akaongea na akaongea tena
 
Jamani Wazee wa Efatha leo kaka gwaji analipi kweny current ishuz
 
aisee nimeangalia mwanzo mwisho gwajima amemchanachana daudi Albert bashite. yaani anamjua ndani nje. bashite kifungo kinamsubilia akirudi tz kutoka huko ukimbizin alipo south
Kwa maelezo aloyatoa,ni kwamba Makonda yupo kwenye engo mbaya sana, labda mamlaka za uteuz zizibe maskio
 
Kila kitu kina mahala pake mkuu,

Sipingi suala la vyeti ila napinga kwa Mtumishi kutokufanya mahubiri yahusuyo imani yake na kuanza kung'ang'ana na vyeti ila ukute hata waumini wake wanafata masuala ya vyeti.

Ila kwangu mimi alishaongea na akaongea na akaongea tena
Anasema alichokozwa hapa katikati ya wiki ndio maana ameibuka, na akitokea mtu akamchokoza atakuja tena na tena, waspokuja atanyamaza
 
Mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima Askofu Josephati Gwajima amemjia juu tena Mkuu wa Mkoa wa Dsm Paul Makonda kwa kusema kwamba, anakula mshahara ambao aliapa kwamba ye n Paul Makonda wakati jina lake n Saudi Bashite.

Amesema hayo leo jumapili wakati akihubiri ibada ya jumapili kanisani kwake.

chanzo:MWANANCHI

Gwajima amshambulia tena Makonda
 
Tatizo Watanzania wengi mnaingiza Kila jambo Katika siasa MI si mwanasiasa ila napenda kuangaliA mambo Katika picha halisi siNaga tabia ya kumpenda mtu au kuwa na mahabA na mtu, Tanzania dunia ni kubwa Sana na Gwajima alichafuliwa kupitia vyombo vya habari so anahitaji siku nyingi Sana za Kujisafisha na si Unajua tena ukiwa unajisafishA mwenyewe Kuna maeneo kuyafikia siyo rahisi, sasa vumilia tu atamaliza, you have to Finnish wht you start, au umesahau msemo huu
Anajisafisha au anabadili via angani? Hoja ni madawa ya kulevya, yeye anadai vyeti. Ndio kujisafisha huko? Serikali Mayo imekuwa na huruma sana. Anatakiwa aamue mama mimbari yake ni ya kuhubiri siasa am a neno la Mungu. Ona sasa hats mapepo yamegoma kumtii!!
 
Ikiwa ameathirika kichwani mshaurini basi apumzike la sivyo atawapotosha nyie waumini wake. Badala ya kuhubiri mambo ya dini anahubiri siasa; imekuwa too much sasa!
Sielewi kwa nini serikali imeachilia hili.
 
Hamjajua inauma kiasi gani kusingiziwa kashfa kubwa kama hiyo ya kuwa mtu wa dini huyo eti anauza madawa anajihusisha na madawa ya kulevya, siyo kama napenda kumuona gwajima anavyooendeleza hili tatizo, ila mbona hatujasikia tamko lolote LA kumsafisha gwajima kuwa hausiki, na ndiyo maana anajaribu kujisafisha mwenyewe, serikali itoe tu tamko kuwa ni makosa yalitendeka kama kweli yalikuwa makosa lakini, hamuezi jua ni kiasi gani gwajima ameathirika kichwani kutokana na swala hili, tusipende tu kumhukumu mtu na pia tupendane Tanzania ni moja hiii
Halo kajisafishaje sasa! Ujinga mzigo
 
Sasa gazeti la udaku la MWANAHALISI linasomwa kanisani!!!!!? halafu anatuzuga eti kafanya utafiti.. ukifuatilia vizuri anachokisoma na riwaya za kubuni za KUBENEA vinafanana. Kumbe ndio kilichompeleka kubenea kwenda kusali hapo ilihali yeye sio imani hiyo???
Kumbe ni hivyo!!!?
 
Back
Top Bottom