tatizo alishakushika ndio maana kweli umeiacha, ni mtume au nabii gani aliyehubiri visasi?Siyo kwenye hili
Kama gwajima ni muongo kwa hili akamatwe afunguliwe kesi ya kudhalilisha.Siyo kwenye hili
Itachuja Bashite akiweka vyeti vyake mezani!Hii CD ishachuja.. Now tupo Dom...
Mbona hamkuchoshwa na mambo ya hovyo ya bwana yule?mbulula gwajima, mpaka anaboa, tumechoshwa na mambo yake ya ovyo
mwe kasahau hadi mke.Mange kaua
Ziba macho na masikiombulula gwajima, mpaka anaboa, tumechoshwa na mambo yake ya ovyo
Acha ujuha Bashite koromije weka vyeti acheni bla blaMtumishi wa Mungu anaonyesha chuki dhahiri karibia miezi kadhaa sasa ina maana hana neno lolote la kusema na waumini wake? ila wenzetu nao mmezidi sasa hapo ibadani unakuwa umefata nini sasa kama ndiyo chuki na vijimambo vinatoka kwa mtumishi wa Mungu tena akiwa mbele yako?