Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

Asante Askofu Gwajima. Umenena kwa roho bila chenga. Kila kitu kipo wazi zaidi. Imeingia katika historia ya jiji la Darisalama kuwa kuna wakati mwaka 2017 jiji hili liliwahi kuongoza na jamaa wa divisheni zero kisha likakimbilia bondeni baada ya ishu yake kunuka. Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
Nasikia neno la leo limetoka katika kitabu cha Kubenea.
 
Yaani huyu Bashite anastahili adhabu kali Sana ili awe kama Kondoo wa kafara kwa wenzake wote, am very sure watu kama Bashite Wako wengi Sana kwenye system.
 
Daud Bashite hachomoki hapa...
Laana za Babu zitammaliza, alifanya mungu, sasa Mungu wa kweli anainuka...!!
 
Tumeshawachoka sasa, naona Makonda anatumika kama mtaji wa kibiashara na huyu mtu, Dini kwake ni biashara, mkubali mkatae.


Unamchokaje mtu anaishi kwake analala kwake, anakula kwake, hakupigii simu wala kukubugudhi kwa namna yoyote mmemchoka je ungekuwa unaishi naye nyumba moja ungekuwaje?
 
Wanawake mnapaswa kukombolewa. Wengi wenu hamjitambua kuamini hawa wachungaji uchwara.
 
Anasema alichokozwa hapa katikati ya wiki ndio maana ameibuka, na akitokea mtu akamchokoza atakuja tena na tena, waspokuja atanyamaza

Na hili ndilo litakalo haribu sana nchi yetu.

Kwa sababu, waharifu watajificha kwenye pazia la dini, na kuendeleza uovu .
 
Mtumishi wa Mungu anaonyesha chuki dhahiri karibia miezi kadhaa sasa ina maana hana neno lolote la kusema na waumini wake? ila wenzetu nao mmezidi sasa hapo ibadani unakuwa umefata nini sasa kama ndiyo chuki na vijimambo vinatoka kwa mtumishi wa Mungu tena akiwa mbele yako?

Wamemchokoza wenyewe bwana wacha wapewe dozi kwani Si anasiku nzima ya kuhubiri so kwanza anaaddress issue ya Bashite then mengine yanaendelea Na wala hajaweka chuki anaongea tu ukweli. Na wakiendelea kumchonoa anaendelea na mengine they have been warned sasa wamuache!! Uzuri Sio yeye aloanza kwahiyo simlaumu!!
 
Na hili ndilo litakalo haribu sana nchi yetu.

Kwa sababu, waharifu watajificha kwenye pazia la dini, na kuendeleza uovu .

Mhalifu hapo ni Nani sasa!? Mmemsachi, mmempima mmemkuta msafi kama Si hivyo angekuwa ndani!! Hapo mhalifu ni Bashite aliemsingizia.
 

Akizungumza leo kanisani kwake, Ubungo, jijini hapa, Gwajima alidai kosa la kwanza la Makonda ni kughushi cheti ambacho kinaonyesha yeye ni Paul Makonda wakati akifahamu kuwa yeye ni Daudi Bashite.

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ametaja makosa ya kisheria yaliyomfanya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda kukimbilia Afrika Kusini.

Akizungumza leo kanisani kwake, Ubungo, jijini hapa, Gwajima alidai kosa la kwanza la Makonda ni kughushi cheti ambacho kinaonyesha yeye ni Paul Makonda wakati akifahamu kuwa yeye ni Daudi Bashite.

“Kosa hilo kwa mujibu wa Gwajima ni kifungo cha miaka saba.Kosa jingine ni kula kiapo cha ukuu wa wilaya na ukuu wa mkoa akisema yeye ni Makonda wakati akijua yeye ni Bashite,” alisema

Gwajima alisema kosa la hilo la kula kiapo na cheti feki ni kifungo cha miaka mitatu.

Kosa jingine alisema ni kupokea mshahara na posho kwa jina la Makonda wakati akifahamu si yeye na kuongeza kuwa kosa hilo likithibitika atatakiwa kurudisha mishahara na posho zote alizochukua.



Gwajima, Kweli naye hamnazo kabisa, yeye ndiye, polisi, ndiye hakimu Daah maana alivyopanga kesi hizo na hukumu.

Ila ninachoelewa ni kuwa Gwajima ni kilaza kabisaaa.

Sema tu hizi dini uchwara za watu binafsi ndiyo matokeo yake haya.
 
Bashite kaenda kutengeneza vyeti feki south, akirudi anavtia maji ya chai na kupiga pasi kionekane kikuu juu,
 
Gwajima, Kweli naye hamnazo kabisa, yeye ndiye, polisi, ndiye hakimu Daah maana alivyopanga kesi hizo na hukumu.

Ila ninachoelewa ni kuwa Gwajima ni kilaza kabisaaa.

Sema tu hizi dini uchwara za watu binafsi ndiyo matokeo yake haya.
Wewe ndio kilaza usiye jielewa

Sent from my TECNO DP7CPRO using JamiiForums mobile app
 
Mhalifu hapo ni Nani sasa!? Mmemsachi, mmempima mmemkuta msafi kama Si hivyo angekuwa ndani!! Hapo mhalifu ni Bashite aliemsingizia.


Muda utasema,
Nilikutana na mzee moja amefanya kazi na Hayati Mwl. Nyerere; sasa huyo mzee yeye alikuwa anaiita serikali hivi siri- kali (Top - Secret) utaelewa tu kadili muda unavyoenda.

Maana akili zingine siyo za "tit for tat" zinaelewa taratibu.
 
Daud Na wewe unazingua hadi pepa la STD 4 nalo lilikuona?
 
Back
Top Bottom