Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

Mtu wa dini huwa anatenda haki siku zote,, haiwezekani mtu kama bashite aliyekuwa anapiga kelele na kuwatusi watumishi wa serikal kumbe na yy hana sifa za kuwa kiongozi, makonda anavuna alichopanda anachokifanya bishop ni sahihi kabisa na ni sehemu ya majukumu take kama mtumishi wa kiroho,, makonda anatakiwa atubu kwanza ndipo asamehewe
 
Ndiyo maana basi serikali, huwa ina hatua za uchunguzi na upelelezi pana mambo mengine yanachukua miaka unafikili kuwa serikali imekuacha au hauna hatia ila baada ya miaka hata 10 wanakufata taratibu unawekwa mikono salama

We jamaa mbishi sana nimekuambia basi sawa tusubiri huo muda ufike bado unaleta mengine!! Narudia tusubiri huo muda unaosema ufike basi!! Ila wakiendelea kumchokoza awape dozi tu hamna namna!!
 
Una maana anachofanya ni kizuri, kisa na mimi sijakatazwa kutenda uovu anaofanya basi nikae tu kimya, nisiseme? Bogus!
Kibaya au kizuri bado ni mtazamo, unachokiona wewe kibaya mwingine anaweza kukiona cha kawaida, sasa usilazimishe mtazamo wako ndio uwe ukweli, huo ni mtazamo tu na sio uthibitisho wa kua anafanya biashara.

Je unaweza kuthibitisha vipi kama anafanya biashara,utoe uthibitisho usio na mashaka na sio hisia zako au mtazamo wako.

Uovu upi anafanya Askofu Dr. Josephat Gwajima?

Ushauri wangu; anzisha kanisa lako uliendeshe utakavyo wewe, acha gwajima aendeshe kanisa lake atakavyo, wewe sio muumini wake kinakuumiza nini kama sio husuda na roho mbaya tu na wivu?
 
Ndalichako una usemi mpaka hapo? Utaanzia wapi kuwataka watumishi vyeti feki wachukuliwe hatua wakati bashite umenyamaza?

Au kwa nn makonda asikanushe??
 
Akizungumza leo kanisani kwake, Ubungo, jijini hapa, Gwajima alidai kosa la kwanza la Makonda ni kughushi cheti ambacho kinaonyesha yeye ni Paul Makonda wakati akifahamu kuwa yeye ni Daudi Bashite.

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ametaja makosa ya kisheria yaliyomfanya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda kukimbilia Afrika Kusini.

“Kosa hilo kwa mujibu wa Gwajima ni kifungo cha miaka saba.Kosa jingine ni kula kiapo cha ukuu wa wilaya na ukuu wa mkoa akisema yeye ni Makonda wakati akijua yeye ni Bashite,” alisema

Gwajima alisema kosa la hilo la kula kiapo na cheti feki ni kifungo cha miaka mitatu.

Kosa jingine alisema ni kupokea mshahara na posho kwa jina la Makonda wakati akifahamu si yeye na kuongeza kuwa kosa hilo likithibitika atatakiwa kurudisha mishahara na posho zote alizochukua.

Ni kesi iliyoamriwa na jaji J. Gwajima katika mahakama kuu ya Mchungaji Gwajima kanda ya Kanisani
 
Ndiyo maana basi serikali, huwa ina hatua za uchunguzi na upelelezi pana mambo mengine yanachukua miaka unafikili kuwa serikali imekuacha au hauna hatia ila baada ya miaka hata 10 wanakufata taratibu unawekwa mikono salama
Hakuna kitu kama hiyo, wadanganye div five wenzako. Ujinga kama huu tafta watu wajinga kama wewe wa kuwadanganya.
 
Nikuulize hili tu, je, unajua Manji kesi zake ni za kuanzia mwaka gani , kama kweli wewe una division one?
 
Hivi kuna ugumu gani kwa Daud kuonesha cheti.

"Mungu hana choyo"

Back
Top Bottom