Kama huwa unasomewa biblia lazima ukwame ukikutana na mtu ambaye husoma biblia.Nope, nahisi napoteza muda wangu.
Siyo mkumbo. Kwani fans wa Arsenal wanavosena Arsenal Wenger ang'oke ni mkumbo?
Hatutaki Std 7 Dar. Na hatutaki Kibaka kuwa RC Dar.
Hatukaki tapeli kuwa RC Dar. Kuna gharama gani kutoa vyeti dharani? Kitu cha dk1 tu.
CCM akili zenu mmezikalia.
Hajakimbia yopo hapahapaTena ni semu ya kutafuta Mali na utajiri wa halo ya juu
Wapo manabii walikuja kutangaza dini ya kweli ya mungu wamezunguuka takribani robo tatu ya dunia hatujasiki kua wanamiliki makampini dini ya mungu ukaigeuza kua kampuni
njooo huku wanakutetaaaaaaaBashiteeeee
umejipanga lakini?Gwajima atueleze kwanini alimzalisha Flora Mbasha wakati ni Mke wa muumini wake?
Kwa muda sasa imegeuka wimbo kwa wimbi la watu wanaojiita wasomi, kusubiri Gwajima amesema nini kanisani kwake, au Mange amepositi nini Instagram.
Baada ya post za kina Mange na Gwajima, chadema na upinzani huibuka na kumtaka Rais amtumbue mkuu wa mkoa wa Dar.
Tuwalize nyinyi mnaotetea wauza madawa ya kulevya bavicha, je Gwajima na Mange kwa akili zenu ndio intelijensia ya rais??
Je waliofukuzwa makazini kwa vyeti feki tuhuma zao ziliibuliwa na Mange na Gwajima??
Mboe je?Unamaanisha mateja wanajisambua manake mwenye akili timamu anafahamu Bashite ana-deal na mateja na sio wauza unga!!!! Na mbaya zaidi, sio kwamba ana-deal na mateja; hivi sasa anatumia mateja kuwalaghai malofa!!!
Halafu watu mlivyo na vichwa vigumu; Tume baada ya kuundwa tu ikaachana na Ubashite wa Bashite lakini ingawaje mna macho bado hamuoni alichofanya Bashite ni ujinga uliovuka mipaka na ndio maana walipokuja wenye akili zao hawakufanya kama alivyofanya yeye!!!!
Anza wewe kwanza kuweka vyeti vyako hapaMwambie. Alie kutuma. Aweke vyeti. Madaifungwe. Iyo. Tunamsaidia. Mh. Rais. Kuvumbua. Wenyevyeti. Fekii. Nayoo. Zambii. Jamanii
Amefanyaje?! Na yeye amefoji vyeti; au?!Mboe je?