Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

Hivi si ndo Bashite huyu huyu ambae alishindwa kuandika Freeman!!! Wakati ule watu walikuwa hawajafahamu kwamba ni Mr. Fa Fa Fa Fa... yaani mtu unashindwa hata kuandika jina!!!!

Eti mtu na akili zako unaita waandishi wa habari na kusema "...Muuza madawa mwingine anaitwa Bonge wa Magomeni! Mwingine anaitwa Jay 4 wa Temeke.....!!!

Huko Magomeni kuna akina Bonge wangapi hadi mtu unafikia kuita media na kutaja drug dealer kwa jina la Bonge, au Jaffar...!!! Ubashite mbaya sana....
 
Mkuu kuna watu uelewa wao uko chini nafuu ya sisimizi.

Inasikitisha sana
 
Inachefua sana kuona watu wasiojielewa wakihusisha vita dhidi ya mateja na mtu kutumia cheti cha mwingine kupandia ngazi. Hivi ni vitu viwili tofauti.
 
wewe unacheti feki...
Huna hoja, unahorojoka tu!!
 
Pima akili yako kwanza,HV niny vjana wa ccm ndio akil zenu zlivyo hiv,yan vichwa maji kabsa sasa ndio umeandika upuuz gan.Halaf nyie ndio mje kututawala baadae yan haiwezekan nasema tena haiwezekan na haitawezekana kutawaliwa na watu weny hisa ndogo ya akil kama ww
 
Kujua kwao inampunguzia nini makonda?
 
Wewe ndio unachukulia story za mitaani kuwa ni ushahidi
 
Je hao waliokosewa majina hawakupatikana?
 
Tanzania hii imejaa wajinga wengi kama wewe unayong'ang'ania jambo ambalo huna mamlaka nalo
 
Inachefua sana kuona watu wasiojielewa wakihusisha vita dhidi ya mateja na mtu kutumia cheti cha mwingine kupandia ngazi. Hivi ni vitu viwili tofauti.
Mashaka yanakuja kwanini aliyetoa tuhuma amefanya hivyo baada ya yeye kutuhumiwa?
 
Yani Kinje, GSM, Riz, Juma Pinto, Le mutuz wanajisumbua?
 
Ebu onyesha ujasiri wako kule upande wa Instagram. Mtag Mange na Gwajima (halafu wachane) ili tukujue vizuri, maana huku mnaandika pumba kwa sababu mnajua hatuwajui kwa majina yenu.
Muulize mwenzio mfalme wa vita, mbwembwe zote tupa kuleeee.
 
wewe ni mama mzazi wa huyo bashite
 

ni kweli ila anafanya kazi kwa gazeti la jamhuri na fbalipoambiwa kazidisha idadi ya wabunge...
 
Hii ishu ya vyeti itawasababishia Bavicha vidonda vya tumbo maana mnaonekana mnastress kuliko hata mtuhumiwa mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…